Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hapa umeleweka...Ngoja nikuache ......
Kama hutimizi majukumu yako ya kifamilia na kindoa ,, utagongewa tuu !![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo awali ulikuwa... Too low & Childish...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umeleweka...Ngoja nikuache ......
Kama hutimizi majukumu yako ya kifamilia na kindoa ,, utagongewa tuu !![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama navokupenda?Kupenda siyo kosa, lkn upo sahihi hapo unapopenda
Matope kichwan huwa hayamuachi mtu iviivi.Hapa umeleweka...
Hapo awali ulikuwa... Too low & Childish...
Mkuu Pasco, Kisa cha General Uriah lazima ukiangalia katika mlengo wa Kifalsafa zaidi. Ni falsafa inayogusa Imani, Mapenzi, Uaminifu, Dhambi na Adhabu yake na mwisho ni Haki ya Mtu. Uriah kama kamanda wa vita wa mstari wa mbele alijitolea kufa kwa ajili ya Mfalme Daudi na hata Daudi alipogundua kwamba Beerisheba ni mjamzito alimwita nyumbani akifikiri atalala na mke ili "kuhalalisha" mimba ile lakini alikataa na akafia vitani. Mungu alikmwadhibu Mfalme Daudi kwamba yule mtoto aliyezaa na Mke wa Uriah alikufa lakini hakumnyang'anya ufalme.Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani huyu mpendaji kuwa kitendo cha kumpenda mke wa mtu, atalaaniwa!.
Hii ni thread ya swali hypothetical tuu na naliuliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
What is Love?.
Kupenda is love, ni kitu kinachotokea naturally for a reason au inaweza kutokea tuu for no reason at all!. Sasa ikitokea tuu naturally, mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?. NB. Naomba lets underline, kupenda, love na kutoka na mke wa mtu!, hapa nazungumzia ku penda, just imagine wewe ni mwanamke mke wa watu, halafu umependwa na mwanaume mwingine, jee wewe una kosa kupendwa?, kwani ni wewe ndio umemwambia huyo mwanamume, akupende?.
Hitimisho.
Wanawake, ni mama zetu, dada zetu na wake zetu, wengi wao wanaishi kwenye ndoa za mateso, hawapendwi, hawatimiziwi, hawatoshelezwi, sasa katika safari ya kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, kama sisi wanaume tulivyo na uhuru wa kupenda mtu zaidi ya mmoja na isinekane ni jambo la ajabu, its high time, tuwape uhuru huo wa kupenda na kupendwa, mama zetu, dada zetu, na wake zetu.
Namalizia kwa swali hili la msingi, Japo "The Forbidden Fruits the Sweetest", na "Vifunikavyo Vyaliwa, Vyaachwa Vilo Wazi", Jee ikitokea mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?.
Ila pia pamoja na yote, mwisho wa yote ni hukumu ya haki iitwayo karma, ambayo kila binadamu atahukumiwa kwa kadri ya wema wake!, unaweza kumpenda mke wa mtu kwa lengo la kumsaidia yeye na familia yake, ukapata baraka kwa usaidizi huo, na unaweza kumpenda mke wa mtu, kwa dhambi ya matamanio ya mwili tuu, na hivyo kumuangamiza mume wake na kuisambaratisha familia yake, japo kidunia unaweza kufanikiwa sana, lakini mwisho wa siku lazima karma itakuhusu!.
Muongozo wa kuujadili uzi huu:
Nasisitiza uzi huu ni hypothetical situation, hivyo nawaombeni sana, msiingize jina la mtu yoyote, na pia isiiamini sana taarifa za umbeya wa mitandaoni kuhusu wake za watu!.
Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa ...
Nawatakia Jumatano Njema.
Paskali
Rejea
Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi ...
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya ... - JamiiForums
Mkuu Pasco, Kisa cha General Uriah lazima ukiangalia katika mlengo wa Kifalsafa zaidi. Ni falsafa inayogusa Imani, Mapenzi, Uaminifu, Dhambi na Adhabu yake na mwisho ni Haki ya Mtu. Uriah kama kamanda wa vita wa mstari wa mbele alijitolea kufa kwa ajili ya Mfalme Daudi na hata Daudi alipogundua kwamba Beerisheba ni mjamzito alimwita nyumbani akifikiri atalala na mke ili "kuhalalisha" mimba ile lakini alikataa na akafia vitani. Mungu alikmwadhibu Mfalme Daudi kwamba yule mtoto aliyezaa na Mke wa Uriah alikufa lakini hakumnyang'anya ufalme.
Kwa mbali unaona kuwa Adhabu aliyopewa Mfalme Daudi ni "nyepesi". Kwa mbali pia unaona kama Uriah alitolewa sadaka na licha ya uzalendo wake haijaandikwa kama alizawadiwa cho chote. Hitimisho nafikiri hilo unalolisema inawezekana likatafsiriwa hivyo kwamba si vibaya kumpenda mke wa mtu kwani hapa tunaona kabisa aliyependa mke wa mtu "hakuadhibiwa" ipasavyo. Wanatheolojia mnaweza kunisahihisha!
Childish....Matope kichwan huwa hayamuachi mtu iviivi.
Usipotimiza majukumu yako ya kifamilia na ndoa ,, utagongewa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Childish....
mamy upo? nimekumiss uje peku kabisa
Nimekumisi pia babuu, nimekuja[emoji160]mamy upo? nimekumiss uje peku kabisa