Jina la ukoo huu ni ccm. Ni(= cikundi cha majizi)
Ni hatari sana, Watumishi wa AUWSA Wenye Weledi wananyanyasika na kuamishwa kila kukicha wengine wanatishiwa kuamishwa na kufukuzwa kazi
Watumishi hawa waliamishwa ili kutengeneza Njia za Upigaji
1. Benedict Kitigwa alikuwa Mkuu wa Idara ya Procurements ameamishiwa Moshi- Huyu aligoma upigaji wa Engineer Rujomba akaamishwa kwenda Moshi
2. Edes Mushi- Huyu alikuwa ni Mwenyekiti wa Tender Board ameamishwa Kwenda Moshi Baada ya kugoma kutoa tender za Upendeleo kwa Matakwa ya Engineer Rujomba
3. Mwajababu- Huyu alikuwa Senior Procurement officer ameamishwa Kwenda Musoma baada ya kukataa kushiriki Magumashi ya Eng Rujomba
4.Engineer Mageni Huyu alikuwa Engineer wa Mradi wa Majisafi ameondolewa na kupelekwa Tarura kutokana na kuoji matumizi mabaya ya Fedha yanayofanywa na Eng Rujomba
5. Maadam Mija alikuwa ni Procurement Officer ameamishwa na Kupelekwa Pondi kwa sasa yupo Ofisi ya Murieti yeye MD ameamuakikishia atamfukuza kazi baada ya kukataa kutoa zabuni ya Mashati kwa behi ya Shilingi 54,000 kwa Shati Moja wakati kuna Mzabuni alikuwa na mashaisi yenye Quality kwa bei ya Shilingi 25,000
6. Engineer Maisha Msangi alikuwa manager wa Kanda ya Longindo ameamishwa desk Makao Makuu baada ya kuoji kwanini mradi wa Force Acount wa Namanga kazi ya Vibarua amepewa Mkandarasi kutoka Moshi wakati kuna Vijana Longido na Namanga wanaweza wakafanya kazi hiyo.
7. Ibrahim Gagala alikuwa meneja Ngaramtoni ameamishiwa Makao Makuu baada ya Kuforward Taarifa anazotoa Moshi town group la Wafanyakazi na kuoji Kama kuna ukweli hatua zichukuliwe kwa wahusika
8. Said Galambo alikuwa store Officer ameamishiwa Ofisi ya USA River baada ya kuoji Ufisadi wa Mradi wa A to Z na Kuoji tabia ya Rujomba kugoma kulipa supplier hadi ashikishwe pesa , Ushaidi upo itumwe team ya wakaguzi kuoji Supplier wa AUWSA Rujomba awalipi hadi watoe pesa , Baada ya Galambo kuoji akaamishwa Kwenda Ofisi ya USA
Waziri Mkuu saidia hawa watumishi wazalendo.