Tuhuma nzito Sana hizi....angalia usiwe unachafua majina ya watu kwa sababu binafsi.Kaa kimya.. Bodi ya Auwsa chini ya Dr. Masika hipo Makini shida ni Waziri na Rujomba wanausika na Ufisadi wa Mradi wa A to Z na Mradi wa Longido- Namanga
Mhe Waziri Mkuu unda kamati huru kuchunguza Ufisadi Wa Mradi wa A to Z wa AUWSA na Tumaini Engineer Wenye thamani ya Shilingi 2.5 bilioniMkataba wa AUWSA na Tumainieli H. Mbwambo( Skilled Labour) wenye thamani ya T.sh 599,377,500/= kujenga mtandao wa Majitaka kutoka A to Z ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za manunuzi.
1.Mfano wa ufisadi kwenye Mkataba unakifungu Cha kuchimba na kufikia bomba T.sh 358,500,000/= umbali wa kuchimba = 8500m maana yake 1m inachimbwa Tsh 42,176/= badala ya T.shs12,000/=
2. Mkataba kutopitisha na Bodi ya Zabuni(Tender Board) ya AUWSA kinyume na Sheria ya manunuzi PPA,2011 section 35(1),(2)&(3)
3.Zabuni kutofuata Sheria ya Manunuzi( The Public Procurement (Amendment) Regulations,2016 - Section 91-Method of tendering for Non Consultancy Services
4. Guideline for Carrying out Works under Force Account, May-2020 section 15.3, 15.5 & 15.1
Wafanyakazi wa AUWSA na UMMA wa Watanzania unaomba kikao Cha kesho 22/12/2021 Kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi swali Hili liweze kujibiwa kwanini Engineer Rujomba na Timu yake hawakufuata taratibu za Manunuzi.
Jina la ukoo huu ni ccm. Ni(= cikundi cha majizi)
Hatari..Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga.
Kuna Mradi wa Ujenzi wa Mtandao wa Uondoaji huduma ya Majitaka Eneo la Kisongo A to Z wenye thamani ya Tzs 3.5 bilion amepewa Mkandarasi 'Tumaini Engineering' bila tenda kutangazwa huu ni ukiukwaji wa taratibu za Ununuzi pamoja na Waziri wa Maji Ndg. Aweso, Katibu Mkuu Eng. Sanga na Bodi ya AUWSA chini ya Dr. Masika kuwa na taarifa juu ya Ufisadi huu wameshindwa kuchukua hatua yoyote.
Watumishi wa AUWSA waliandika barua kwa Waziri Aweso kumtaarifu juu ya Ufisadi wa Mradi wa Majitaka wa A to Z cha kusikitisha Waziri alimpatia barua MD wa AUWSA na kumtaadharisha kukaa mbali na Technical Manager Eng. Humphrey Mwombelwa badala ya Waziri kuifanyia kazi barua yeye akamchonganisha MD na TM hivyo kumlazimisha TM kuacha kazi. Ni aibu na Kinyume cha Maadili ya Utumishi wa Umma kwa Waziri kutoa taarifa za siri kwa mhusika.
Serikali ilitoa TZS 3 billion zitumike kujenga mtandao wa majisafi Longido hadi Namanga kwa kutumia Force Account, cha Kusikitisha MD wa AUWSA ameipatia kazi ya Ujenzi kampuni ya Tumaini Engineering bila kufuata taratibu za Ununuzi zabuni haikutangazwa kama taratibu zinavyotaka.
Pamoja na Serikali kuzuia Posho, Management ya AUWSA na wasimamizi wa mradi kila mwisho wa Mwaka wanajilipa posho kila Mmoja TZS 1 Million hadi 5 Million za Sikukuu ya Noeli (Christmas) huku upotevu wa Maji NRW ukiwa ni asilimia 54. Serikali ilishapiga marufuku Posho za Sikukuu.
Ofisi ya Rais, Waziri Mkuu, PCCB Makao Makuu (PCCB wa Arusha wamewekwa Mfukoni) tuna imani sana na ofisi zenu; tumeni wakaguzi huru wachunguze Ufisadi unaondelea AUWSA
Jina la ukoo huu ni ccm. Ni(= cikundi Kuna Mradi wa Constrution of water blending system for fluoride reduction wenye thamani ya shilingi za Kitanzania 29 bilioni MD wa AUWSA Engineer Rujomba ameandika barua AFDB huu mradi apatiwe kampuni ya China ya Sinohdro’s bila Zabuni kutangazwa “ Single Source”
Ni hatari sana, Watumishi wa AUWSA Wenye Weledi wananyanyasika na kuamishwa kila kukicha wengine wanatishiwa kuamishwa na kufukuzwa kaziJina la ukoo huu ni ccm. Ni(= cikundi cha majizi)
Kwani miradi kama hiyo huwa haifanyiwi ukaguzi ?..Mhe Waziri Mkuu unda kamati huru kuchunguza Ufisadi Wa Mradi wa A to Z wa AUWSA na Tumaini Engineer Wenye thamani ya Shilingi 2.5 bilioni
Baada Taarifa za Ufisadi wa Mradi wa A to Z kuwekwa Wazi AUWSA imevunja Mkataba na Mkandarasi Tumaini Engineer cha Kusikitisha wausika walioshiriki katika Mkataba huu wa Kifisadi wapo huru mtaani wanatamba kuwa wamewaweka PCCB Arusha na Wakuu wa Wizara ya Maji Mfukoni awawezi kufanywa chochote.
Pamoja na Mkataba wa Tzs 2.5 bilion wa AUWSA na Tumaini Engineer kuvunjwa PCCB, Bodi na Menejimenti ya AUWSA aijachukua hatua / Jitihada zozote kurejesha Fedha za walipa kodi wa Nchi hii alizolipwa Tumaini Engineer na hakuna hatua zozote za Kisheria zilizochukuliwa dhidi ya Tumaini Engineer yupo mtaani anakula bata.
Kuna upungufu mkubwa sana kwa mtoa mada hii ya Construction of blending system for fluoride reduction works. Kazi za mradi mkubwa wa maji na majitaka Arusha umefadhiliwa na AfDB kweli na Contract inafuata AfDB procurement methods na utawala wa mradi huu unafuata AfDB guidlines na sio National Guide line PPRA na tender procedure ya mamlaka ya AUWSA.PCCB Chunguzeni kuna Upigaji unasukwa AUWSA na Engineer Rujomba wa Shilingi 29 bilion ( Bilioni ishirini na Tisa) za Ujenzi water blending system for flouride reduction ( Construction of blending system for flouride reduction )
Eng Rujomba Ameandika barua AFDB kuomba aingie Mkataba wa Shilingi 29 bilioni bila zabuni kutangazwa , ameamua kutumia mfumo wa single source kinyume na taratibu za Ununuzi , Sheria ya Ununuzi inataka zabuni zote zinazozidi Shilingi 5,000,000 ( Milioni tano ) kutangazwa, Rujomba yeye ameshinikiza Tender Board kukubali kutoa Zabuni ya Shilingi 29,000,000,000 ( Bilioni Ishirini na Tisa ) kwa kampuni ya Sinohdro’s .Kama anabisha PCCB andikeni barua AFDB Kama awajapokea barua kutoka kwa Eng Rujomba kuomba aingie Mkataba wa TZs 29 bilioni bila kutangazwa
Sinohdro’s hana sifa ya kupewa zabuni hii kwa Sababu zifuatazo.
1. Zabuni inayozidi Shilingi za Kitanzania 5 Milioni ni Lazima itangazwe kwa uwazi. Hii zabuni yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania 29 bilion aijatangazwa, Kama Rujomba atabisha PCCB andikeni Barua AFDB Kama awajapokea barua kutoka kwa Eng Rujomba ya Kuomba kuingia Mkataba “No Objection “ ya kusaini Mkataba na Sinohdro’s
2. Hii zabuni siyo sehemu ya mradi Mkubwa wa Maji unaojengwa na Sinohdro’s.
Eng Rujomba na Genge lake wanataka kulalalisha Upigaji na kulagai dunia kuwa huu mradi ni sehemu ya mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Maji anayojenga Sinohdro’s kualalisha Upigaji.
Mr. LutindiHongera management ya AUWSA.
Zile hela za upandaji wa miti kule Mkonoo kwenye mabwawa mmezirengeta?Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga.
Kuna Mradi wa Ujenzi wa Mtandao wa Uondoaji huduma ya Majitaka Eneo la Kisongo A to Z wenye thamani ya Tzs 3.5 bilion amepewa Mkandarasi 'Tumaini Engineering' bila tenda kutangazwa huu ni ukiukwaji wa taratibu za Ununuzi pamoja na Waziri wa Maji Ndg. Aweso, Katibu Mkuu Eng. Sanga na Bodi ya AUWSA chini ya Dr. Masika kuwa na taarifa juu ya Ufisadi huu wameshindwa kuchukua hatua yoyote.
Watumishi wa AUWSA waliandika barua kwa Waziri Aweso kumtaarifu juu ya Ufisadi wa Mradi wa Majitaka wa A to Z cha kusikitisha Waziri alimpatia barua MD wa AUWSA na kumtaadharisha kukaa mbali na Technical Manager Eng. Humphrey Mwombelwa badala ya Waziri kuifanyia kazi barua yeye akamchonganisha MD na TM hivyo kumlazimisha TM kuacha kazi. Ni aibu na Kinyume cha Maadili ya Utumishi wa Umma kwa Waziri kutoa taarifa za siri kwa mhusika.
Serikali ilitoa TZS 3 billion zitumike kujenga mtandao wa majisafi Longido hadi Namanga kwa kutumia Force Account, cha Kusikitisha MD wa AUWSA ameipatia kazi ya Ujenzi kampuni ya Tumaini Engineering bila kufuata taratibu za Ununuzi zabuni haikutangazwa kama taratibu zinavyotaka.
Pamoja na Serikali kuzuia Posho, Management ya AUWSA na wasimamizi wa mradi kila mwisho wa Mwaka wanajilipa posho kila Mmoja TZS 1 Million hadi 5 Million za Sikukuu ya Noeli (Christmas) huku upotevu wa Maji NRW ukiwa ni asilimia 54. Serikali ilishapiga marufuku Posho za Sikukuu.
Ofisi ya Rais, Waziri Mkuu, PCCB Makao Makuu (PCCB wa Arusha wamewekwa Mfukoni) tuna imani sana na ofisi zenu; tumeni wakaguzi huru wachunguze Ufisadi unaondelea AUWSA.
Tafadhali unapotoa taarifa kwenye public namna hii jaribu kuifanyia uchunguzi wa kutosha Kwani unatuchanganya wasomaji pia maana sample ya kitu mnachotaka kununua sio lazima itoke Kwa wazabuni mnaweza mkawa nacho then mkamuonesha mzabuni kuwa akileta zabuni yake alete kama hiyo sample yenu na huo onutaratibu pia unaruhusiwa. Tusipotoshane.PCCB Jukumu lenu ni Pamoja na Kuzuhia Rushwa
Tarehe 11 Mei 2022 Mkurugenzi wa AUWSA Engineer Rujomba akiwa nje ya Nchi aliagiza kikao cha Menejimenti ya AUWSA kifanyike kupitisha sampuli ( Sample) ya uniform ya kununua katika kupindi cha Mwaka wa Fedha 2022/2023 thamani ya Shati Moja ni Shilingi 55 Milion huu ni ubadhirifu wa Fedha za Umma
Maswali ya Msingi Kwanini Menejimenti inapitisha ununuzi wa Mashati kabla ya zabuni kutangazwa? Kwanini MD wa AUWSA atume sample kwa Njia ya Wassap kwa HPMU ? Rujomba alikutana wapi na Huyu supplier? Na kwa nini analazimisha apewe zabuni ya Uniform ? Menejimenti ya AUWSA imetumia sheria hipi kuingilia Mchakato wa Ununuzi wa Mashati?
Kwa faida ya mtoa taarifa na wasomaji Kwa ujumla ni kwamba single source Haina threshold yaani kiwango Cha pesa ni kuwa na sababu ya kutumia yaani justification only kasome jedwali la pili la kanuni za ununuzi wa imma itakusaidia.PCCB Chunguzeni kuna Upigaji unasukwa AUWSA na Engineer Rujomba wa Shilingi 29 bilion ( Bilioni ishirini na Tisa) za Ujenzi water blending system for flouride reduction ( Construction of blending system for flouride reduction )
Eng Rujomba Ameandika barua AFDB kuomba aingie Mkataba wa Shilingi 29 bilioni bila zabuni kutangazwa , ameamua kutumia mfumo wa single source kinyume na taratibu za Ununuzi , Sheria ya Ununuzi inataka zabuni zote zinazozidi Shilingi 5,000,000 ( Milioni tano ) kutangazwa, Rujomba yeye ameshinikiza Tender Board kukubali kutoa Zabuni ya Shilingi 29,000,000,000 ( Bilioni Ishirini na Tisa ) kwa kampuni ya Sinohdro’s .Kama anabisha PCCB andikeni barua AFDB Kama awajapokea barua kutoka kwa Eng Rujomba kuomba aingie Mkataba wa TZs 29 bilioni bila kutangazwa
Sinohdro’s hana sifa ya kupewa zabuni hii kwa Sababu zifuatazo.
1. Zabuni inayozidi Shilingi za Kitanzania 5 Milioni ni Lazima itangazwe kwa uwazi. Hii zabuni yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania 29 bilion aijatangazwa, Kama Rujomba atabisha PCCB andikeni Barua AFDB Kama awajapokea barua kutoka kwa Eng Rujomba ya Kuomba kuingia Mkataba “No Objection “ ya kusaini Mkataba na Sinohdro’s
2. Hii zabuni siyo sehemu ya mradi Mkubwa wa Maji unaojengwa na Sinohdro’s.
Eng Rujomba na Genge lake wanataka kulalalisha Upigaji na kulagai dunia kuwa huu mradi ni sehemu ya mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Maji anayojenga Sinohdro’s kualalisha Upigaji.
Usahihi sio jedwali la pili, Kasome jedwali la Saba la a kanuni za ununuzi wa ummaKwa faida ya mtoa taarifa na wasomaji Kwa ujumla ni kwamba single source Haina threshold yaani kiwango Cha pesa ni kuwa na sababu ya kutumia yaani justification only kasome jedwali la pili la kanuni za ununuzi wa imma itakusaidia.
Pili, mradi mkubwa wa AUWSA unatumia Sheria zote za TZ na Dona AFDB. kama mgnt ya AUWSA imeandika barua kwenda AFDB kuomba single source huo ndio utaratibu sahihi Kwani natumai watakua wameeleza sababu za kuomba kutumia hiyo single source hapo sioni kosa.
Poa, tungekuamini sana kama ungechallenge sababu za kuomba kutumia single source. Au AUWSA wangetumia single source bila ya kuomba no objections kutoka AFDB. usipotoshe.