Kuna ugonjwa ukiumwa unakuwa unakiona kifo

Daah yaani hili FUTA noma sana, naamini linawapata watu wengi ila vijana body immunity zinawasaidia. Kwa ulivyoeleza nadhani ungekuwa na magonjwa nyemelezi kama Kisukari, HIV, pumu etc ungesepa mkuu!!![emoji22] Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan kila ninaekutana nae ana Mafua na kikohozi sijui ni nini jamani? Kwa shuhuda hizi watu wengi wana shida hii basi tu hawajapima
 

Endelea kuwalinda
Watoto pia ni kweli wanaupata na wachache wa wachache walioupata wamefariki. Kuna ugonjea wa Kawasaki ndio inasemwa wengi wao wanapata symptoms zake wakipata covid. Tatizo la huu ugonjwa una mengi mapya kila leo..
 
Daah Mungu aendelee kuwapigania hivyo hivyo asee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tooo awesome ni yeye pekee ndio mwenye kuamua jambo ktk maisha yetu..si binadam
Kabisa nakwambia mwenyezi Mungu ni waajabu sana mimi pia yaani nilikuwa nawazia sana familia yangu lakini cha ajabu hadi sasa dogo yuko vizuri kabisa hata hajawahi kutetereka. Tunachoweza sema Our God is an Awesome God

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…