Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?

Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.

Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji wa pombe inahitaji mahubiri....Acha ulevi ndugu yangu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na kwa faida ya familia yako.

Muda huu wa weekend kubadilisha mabaa kwanin usiutumie pengine kutulia na familia yako ama kutoka out na familia, na hii bora zaid kuliko kwenda kesha mabaa.
Huna Hela Kaa kimya tu, tafuta Hela kijana
 
Waashauri vijana waachane na habari za kuoa tu ila ishu ya pombe achana nayo kabisa
 
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?

Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.

Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji wa pombe inahitaji mahubiri....Acha ulevi ndugu yangu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na kwa faida ya familia yako.

Muda huu wa weekend kubadilisha mabaa kwanin usiutumie pengine kutulia na familia yako ama kutoka out na familia, na hii bora zaid kuliko kwenda kesha mabaa.
Kunywa ila usilewe,,,,
 
Back
Top Bottom