Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
H
Hiyo Bakar NONDO Mwamnyeto ni ngumu sana kuiacha🤣kila nikijaribu kuacha moja ya ulevi huu kati ya hvi nashindwa..Punyeto, pombe, madawa ya kulevya, uasherati na betting.
Vitu hvi vitano ni hatari kwa kweli.
Yaani mpaka naingia kwenye ndoa mpaka naingia utu uzima najaribu kuacha lakin nashindwa.