Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

kila nikijaribu kuacha moja ya ulevi huu kati ya hvi nashindwa..Punyeto, pombe, madawa ya kulevya, uasherati na betting.

Vitu hvi vitano ni hatari kwa kweli.

Yaani mpaka naingia kwenye ndoa mpaka naingia utu uzima najaribu kuacha lakin nashindwa.
 
HADI MADAWA UNABWIA ...? we jiandae kupelekewa moto tu hakuna namna 👌👌 chochote kitu watu watapita nacho soon
 
Wewe njoo twende kawe tu kwa nabii, una tatizo kubwa🤣🤣
 
Nimesema moja kati ya vitu hvyo na si vyote, nimeshindwa kuweka wazi ila kipo miongoni mwa hvyo.
 
Ukiamua kuacha pombe una ACHA vizuri TU. Mwaka WA nne huu tangu niachane nazo
 
kila nikijaribu kuacha moja ya ulevi huu kati ya hvi nashindwa..Punyeto, pombe, madawa ya kulevya, uasherati na betting.

Vitu hvi vitano ni hatari kwa kweli.

Yaani mpaka naingia kwenye ndoa mpaka naingia utu uzima najaribu kuacha lakin nashindwa.
uchawi upo, we si ndio umetoa ushauri mbovu wa kuacha pombe???
 
na wewe ni mtumiaji wa vimiminika vyenye kileo ndani yake

"Msiwape pombe wafalme watasahau majukumu yao, bali wapeni pombe masiki wanywe wasahau shida zao"

Mkuu nisinywe afu niteseke? muda wote nikae nakumbuka shida zangu? Kweli hata we unaona sawa??😹
 
"Msiwape pombe wafalme watasahau majukumu yao, bali wapeni pombe masiki wanywe wasahau shida zao"

Mkuu nisinywe afu niteseke? muda wote nikae nakumbuka shida zangu? Kweli hata we unaona sawa??😹
ukishalewa na shida ndio zinakwisha ni mujiza gani huu wallah

nikiwaita walevi ni wapumbavu nakosea
 
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?

Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.

Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji wa pombe inahitaji mahubiri....Acha ulevi ndugu yangu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na kwa faida ya familia yako.

Muda huu wa weekend kubadilisha mabaa kwanin usiutumie pengine kutulia na familia yako ama kutoka out na familia, na hii bora zaid kuliko kwenda kesha mabaa.
Ni suala la mtu binafsi. Na hata ugumu unatofautiana kati ya mtu na mtu.

Binafsi huwa nakaa mpaka miaka miwili bila kunywa pombe.

Mwaka huu mara ya mwisho nimekunywa glasi moja ya Champagne January 1 2024 kusheherekea mwaka mpya, hapo ndipo ilikiwa mara ya mwisho kunywa pombe.

Niliamua kuacha tu bila tatizo lolote, kwa sababu nilitaka tu.
 
🇮🇱Mlevi aliyekuwa addicted na pombe Hana tofauti kabisa na Teja la madawa ya kulevya

🇮🇱 Ndugu yako akiingia kwenye sakata hili familia nzima inaumia, hakuna tofauti na ndugu yako kuwa kichaa na kuzurura uchi mjini

🇮🇱 Wapo waliokuwa ma genius darasani Sasa hivi ni Wenda wazimu kwa ajili ya pombe,

🇮🇱 Wapo waliokuwa Matajiri Pesa na mipango ya Pesa inasambaratika

🇮🇱 Idadi ya vijana wanaofanyiwa dialysis kwa kuua figo kwa sababu ya pombe Kali imeongezeka maradufu

🇮🇱 Ujio wa hizi pombe Kali ambazo zamani ziliitwa viroba na Sasa zinauziwa kwenye vichupa inamaliza vijana. Serikali isipoingilia kati wapiga kura wake watapukutika

🇮🇱 Bora zamani watu walikuwa wanakunjwa mataputapu na gongo lakini kwa haya ma pombe ya vichupa ya Sasa ni bomu
 
Back
Top Bottom