Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila acha tunywe pombe ni maishaHapo sasa
Wanzinzi wanatuonea wivu mno.Wanatushauri tuache pombe ili tuwe wazinzi kama wao.
Ww endelea tu na soda zako mkuuHii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?
Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.
Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji wa pombe inahitaji mahubiri....Acha ulevi ndugu yangu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na kwa faida ya familia yako.
Muda huu wa weekend kubadilisha mabaa kwanin usiutumie pengine kutulia na familia yako ama kutoka out na familia, na hii bora zaid kuliko kwenda kesha mabaa.
dah! mbona limekushuka sana hili..🤣mlevi yoyote ni mpumbavu
Tutakupigqmkuu unamwambia nani?
Alosto ndio kipengele kushindwa kuacha🍺🍺Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?
Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.
Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji wa pombe inahitaji mahubiri....Acha ulevi ndugu yangu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na kwa faida ya familia yako.
Muda huu wa weekend kubadilisha mabaa kwanin usiutumie pengine kutulia na familia yako ama kutoka out na familia, na hii bora zaid kuliko kwenda kesha mabaa.
Ni furaha sana kuleewaaaa na marafiki...*2
ni hovyo sanadah! mbona limekushuka sana hili..🤣
wa mara mojamoja sio mbaya japo nae akishalewa tayari ni mpumbavu mtarajiwa piaIla mnywaji je?