Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

Huna Hela Kaa kimya tu, tafuta Hela kijana
 
Huna Hela Kaa kimya tu, tafuta Hela kijana
ni ushamba kwa kufikiri kila mwenye lazima awe mnywaji, ni bora ungenyamaza ukaonekana wa maana kuliko utumbo huu ulio comment.
 
Waashauri vijana waachane na habari za kuoa tu ila ishu ya pombe achana nayo kabisa
 
Kunywa ila usilewe,,,,
 
Sema hii mada ni nzuri ila tukiacha pombe tutaangalia vipi mechi za man u na simba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…