Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

Maamuzi tu,mbona mimi naweza kupumzika kunywa nakaa hata wiki mbili nakuwa mapumzikoni
Kuna wakati hata mwezi na wakati ukifika nalianzisha

Ova
 
Ww endelea tu na soda zako mkuu
 
1. Mithali 3:9-10 – "Mheshimu BWANA kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote; ndipo ghala zako zitakapojaa tele, na mashinikizo yako yatafurika divai mpya."

2. Mhubiri 9:7 – "Enenda, ukale chakula chako kwa furaha, na ukanywe divai yako kwa moyo mwema; kwa sababu Mungu amekwisha kuyakubali matendo yako."

3. Zaburi 104:14-15 – "Huotesha majani kwa wanyama, na mimea kwa mahitaji ya wanadamu, ili kuleta chakula kutoka ardhini, na divai iwapendezao mioyo ya wanadamu, na mafuta kuyang'ariza nyuso zao, na mkate umpao mtu nguvu."

4. 1 Timotheo 5:23 – "Usiwe unakunywa maji tu, bali tumia kidogo divai kwa ajili ya tumbo lako na maradhi yako ya mara kwa mara."
 
Sema hivi "kuna ugumu gani wa kuacha ulevi?". Wengine pombe ni kama chakula. Mf. Serengeti mbili kila siku zinaongeza kiwango cha damu mwilini na kuufanya mwili uwe na nguvu.
 
Alosto ndio kipengele kushindwa kuacha🍺🍺
 
Pombe haina tatizo ila tatizo ni anayeitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…