Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

H
kila nikijaribu kuacha moja ya ulevi huu kati ya hvi nashindwa..Punyeto, pombe, madawa ya kulevya, uasherati na betting.

Vitu hvi vitano ni hatari kwa kweli.

Yaani mpaka naingia kwenye ndoa mpaka naingia utu uzima najaribu kuacha lakin nashindwa.
Hiyo Bakar NONDO Mwamnyeto ni ngumu sana kuiacha🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…