Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

Km mwanamke hayuko tayari kufika kibo au mawnzi,hakuna mwanaume wa kumfikisha.
 
UNA AKILI ZA KUJUA KAMA AMEFIKA KILELENI AU LA?
 
Kiujumla Sexy iko ovarated unakuta mtu anatumia hata laki 2 kwa usiku mmoja

Wanaume hatufaidi sana sex mana raha ya sex kwa mwanaume ni kukojoa tu tena bao la kwanza kitendo cha sekunde kadhaa mengine yanayofata ni kutafuta heshima tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Doctor heshima yako.

Umeelezea kitaalamu na kwa uzoefu mkubwa Sana.
 
Na sisi ni hivo hivo baada ya hapo ni kukuridhisha tu
 
Shimba unahangaika mwenzako yupo Insta anaangalia Marioo kapost nini!!!!!
 

Uko sahihi kabisa mademu wa kibongo wajuaji lakini wajinga watupu,hata siku moja ni ngumu kutoa maelekezo sijui wanadhani tunawaza wanayoyawaza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…