tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Wakuu heshima yenu.
Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika.
Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar.
Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia imekua adimu sana.
Aisee naomba wahusika mtolee ufafanuzi wa hili suala vinginevyo hali itakua mbaya kwa sababu wateja wenu wengi tutahamia kwa mshindani wenu mkuu (plisner lager).
Asante