Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

Kuna baada ya kulewa pia mkuu, nyingine huwafanya watu vichwa viume sana, uchovu sana na nyingine hukata hamu ya kula.
Na kulewa pia huwezi fananisha safari na kilimanjaro, safari lager ni kwa wanaume wa kweli(bia dume hiyo).


So kila mtu anachagua kulingana na vile anaona inamfaa.
Sawa kwa kipindi hiki itabidi utafute mbadala wake mkuu
 
Wakuu heshima yenu.
Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika.
Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar.
Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia imekua adimu sana.
Aisee naomba wahusika mtolee ufafanuzi wa hili suala vinginevyo hali itakua mbaya kwa sababu wateja wenu wengi tutahamia kwa mshindani wenu mkuu (plisner lager).
Asante
Bar gani hizo umekwenda mkuu? Mbona Kimara Bar ya Dagaadagaa na Chuga zimejaa
 
Back
Top Bottom