Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Ushatoa fursa hapa kuna wajuba wanazibana chupa hizo soon wataanza kufyatua za kwao bila TBL kugundua lolote, kaa kwa kutulia ukinyweshwa mchuzi wa supu ya mende usishangae tuAisee naomba wahusika mtolee ufafanuzi wa hili suala vinginevyo hali itakua mbaya kwa sababu wateja wenu wengi tutahamia kwa mshindani wenu mkuu (plisner lager).
Asante