Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

Aisee naomba wahusika mtolee ufafanuzi wa hili suala vinginevyo hali itakua mbaya kwa sababu wateja wenu wengi tutahamia kwa mshindani wenu mkuu (plisner lager).
Asante
Ushatoa fursa hapa kuna wajuba wanazibana chupa hizo soon wataanza kufyatua za kwao bila TBL kugundua lolote, kaa kwa kutulia ukinyweshwa mchuzi wa supu ya mende usishangae tu
 
Pigo sana!
 
Hizo ndio bia zangu pia, plisner kwangu haipandi kabisa, kili nayo ndo kabisaa.
Zile za kimataifa inayopanda ni Budweiser
 
Mkuu starehe ya pombe ni kulewa,usichague pombe.
Au ukinywa nyingine hulewi?
Kuna baada ya kulewa pia mkuu, nyingine huwafanya watu vichwa viume sana, uchovu sana na nyingine hukata hamu ya kula.
Na kulewa pia huwezi fananisha safari na kilimanjaro, safari lager ni kwa wanaume wa kweli(bia dume hiyo).


So kila mtu anachagua kulingana na vile anaona inamfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…