Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakurya.
Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola ikiwa ndo senta kubwa ukanda huu wa kahama kaskazini kwani imezungukwa na migodi mingi midogo midogo. Nimebaini kwenye kila bucha 10 kati ya 8-9 ni za wakurya. Na mara nyingine zote 10 unakuta wamiliki ni wakurya!
Hata ukikuta muuzaji ni kabila jingine lakini Boss wa bucha hiyo ni mkurya.
Nikiwa Dar hali ilikuwa hiyo hiyo ukifika kwenye bucha unakutana na lafudhi ya kikurya.
Niwaulize wakuu kuna siri gani kwenye biashara hii na wakurya?
Wala sio kwa Nia mbaya nauliza tu.