babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,476 Reaction score 21,202 Nov 9, 2025 #41 Kuna wanyaturu huko wanakula hadi punda,mamba na fisi wakidai nyama ni nyama tu.
S sputnik JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 830 Reaction score 1,169 Nov 9, 2025 #42 Wanafuga na kuchinja...tofaut na makabila mengine ya wafugaji ambao huwa wanafuga kama prestige