Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Mkurya kwenye nyama muache tu maana kwanza nimekuwa nikijua wanaume hawali dagaa au maharage nikianzia kwa mzee wangu sijawahi muona mpaka leo ana masharti ya kutokula nyama kutokana na afya yake ila hajawahi acha kula nyama
'Wakulya' ndio kabila ganiWakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakulya.
Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola ikiwa ndo senta kubwa ukanda huu wa kahama kaskazini kwani imezungukwa na migodi mingi midogo midogo. Nimebaini kwenye kila bucha 10 kati ya 8-9 ni za wakulya. Na mara nyingine zote 10 unakuta wamiliki ni wakulya!
Hata ukikuta muuzaji ni kabila jingine lakini Boss wa bucha hiyo ni mkulya.
Nikiwa Dar hali ilikuwa hiyo hiyo ukifika kwenye bucha unakutana na lafudhi ya kikulya.
Niwaulize wakuu kuna siri gani kwenye biashara hii na wakulya?
Wala sio kwa Nia mbaya nauliza tu.View attachment 3274351
Wapale'Wakulya' ndio kabila gani
Wagogo ni wachache sana huku hawapo kabisaBucha Wagogo ndiyo ma tycoon, wakurya wanasubiri.
Hata waziri Simbachawene ana mabucha pale Vingunguti.
Na yule Lusinde ametokea kwenye Bucha yake pale Kawe ndiyo kagombea ubunge.
Nimeenda nyakagwe na nyangarata. Huko bugarama bucha3 ilogi mara nyama iwepo au isiwepo pamoja na buyage kufanya research kwa senta hizo nikupoteza muda.Nikifa MkeWangu Asiolewe umefika hadi huku buga, ilogi buyange na namba 9 huko bila kuisahau nyakagwe? Alafu wakulya ni kabila gani mura wacha kuharibu majina ya makabila ya watu....toa salam hapo marumba
Niliwakuta Ntobo, Segese hadi Lunguya..🤣Nikifa MkeWangu Asiolewe umefika hadi huku buga, ilogi buyange na namba 9 huko bila kuisahau nyakagwe? Alafu wakulya ni kabila gani mura wacha kuharibu majina ya makabila ya watu....toa salam hapo marumba
Nimesharekebisha mkuuWakulya!
Huu ndo ukweliMkurya kwenye nyama muache tu maana kwanza nimekuwa nikijua wanaume hawali dagaa au maharage nikianzia kwa mzee wangu sijawahi muona mpaka leo ana masharti ya kutokula nyama kutokana na afya yake ila hajawahi acha kula nyama
Una utani nao?😅😅Hao washazoea damu so kukaa buchani ni kama wapo beach Ile harufu ya damu damu inawapa vibes
Segese wapo wakutosha. Luguya sijawahi fanya research hapo.Niliwakuta Ntobo, Segese hadi Lunguya..🤣