Kuna uhusiano upi kati ya wakulya na biashara ya nyama ( Butcher)?

Labda dar njoo kaskazn Kilimanjaro wenye mabucha n wazawa yaan wachagga nenda Arusha wamiliki n wamaasai mkurya uku ajulikan kweny mabucha
 
"Wakulya na wamelu awpnd maxiala"
😄
Graduates bongo!
 
Kama wanaweza kukugecha binadamu mwenzao, ndiyo sembuse ng'ombe iliyochinjwa 😜

Fita ni fita mura 🤗
 
Sawa na ccm na idara ya ulinzi
 
Na wachaga na baa na warombo na nyamachoma kwenye baa!
 
Wagogo ndio biashara yao kuu hii.
 
Nikifa MkeWangu Asiolewe umefika hadi huku buga, ilogi buyange na namba 9 huko bila kuisahau nyakagwe? Alafu wakulya ni kabila gani mura wacha kuharibu majina ya makabila ya watu....toa salam hapo marumba
Niliwahi fika hapo miaka ya nyuma kulikuwa na bar maarufu inaitwa Half-London
Palikuwa na wahudumu pisi kali kinoma nasikia mmiliki wa hiyo bar alikuwa na utaratibu wa kubadiri wahudumu wapya Kila baada ya mwezi halafu alikuwa anaajili wahudumu classic kama wale wahudumu wa bar moja maarufu Arusha😀
Anyway Kakola ni mji mdogo sana ila nilienjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…