Kuna uhusiano upi kati ya wakulya na biashara ya nyama ( Butcher)?

Kuna wanyaturu huko wanakula hadi punda,mamba na fisi wakidai nyama ni nyama tu.
 
Wanafuga na kuchinja...tofaut na makabila mengine ya wafugaji ambao huwa wanafuga kama prestige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…