Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

Ni vizuri usome Kwa ufahamu pale mtu anapoandika.

Hata Kwa mwanaume au MTU yeyote maumivu ndio upendo wenyewe. Upendo ni kujitoa, sacrifice,
Wanasema no pain no gain
Na watu hawawezi kukubali pain mahali kama hakuna upendo
Hakika wewe ndio tycoon wa fasihi na kazi zako nzuri kama hizi ni tunu kwa vijana mapopoma wa nchi hii.
 
Kuna magomvi mengine ni Siri.
 
Huyo dada hakuwa type yako. Tatizo lako badala ya kuusikiliza moyo/nafsi yako wewe unaongozwa na macho yanachoona.
 
Facts.
Lakini mimi nadhan maumivu hayo yaje yenyewe usiyatengeneze ukitegemea kukuza upendo,
Panapo upendo Maumivu huja hata kwa jambo dogo sana hayo ya Kupimana ni Kuonyesha mlivyo shallow kwenye hayo Mapenzi yenu.
Note:Nimepata Kitu.
 
Karibu Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…