Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Inatakiwa iwe 50 kwa 50Ila zikizidi Maisha yanakuwa magumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatakiwa iwe 50 kwa 50Ila zikizidi Maisha yanakuwa magumu
Taikon umenifungua macho.Anaandika Robert Heriel
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu.
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi kukupenda sana!
Naweza kusema Upendo wa Mwanamke umeumbwa katika maumivu na uchungu. Taikon Leo unataka kusemaje? Subiri Ndugu msomaji utanielewa polepole tuu.
Mwanamke kama haumii na Hana uchungu na wewe jua kabisa huyo hakupendi. Ili akupende au upime upendo wake ni lazima aumie au Kupata uchungu juu yako na mwanamke hawezi kukupenda Ile yenyewe kama hujawahi kumuumiza au kumpa uchungu.
AINA ZA MAUMIVU:
1. Maumivu ya Kihisia
2. Maumivu ya Kimwili
3. Maumivu ya kiuchumi
Mwanamke kikawaida ili azidi kukupenda lazima umuumize au ajiumize kwaajili yako, yaani ajitie uchungu katika moja ya mambo hayo Matatu au yote Kwa pamoja kwaajili yako. Mwanamke unaweza ukamjali na akadai anakupenda Kwa sababu unamjali Kwa karibu kila kitu lakini elewa huo upendo ni Fake sio halisi.
Kumjali Mwanamke ni jukumu la mwanaume lakini hakumfanyi huyo Mwanamke akupende Kwa dhati. Wanawake wengi (sio wote) hupenda wanaume wenye Wanawake wengi. Yaani ukiwa Mwanaume unayewaumiza Wanawake wengi kimapenzi (yaani Leo umepiga huyo ukaacha ukafuata wengine) upo katika mazingira ya kupendwa zaidi na Wanawake.
Tofauti na ukiwa Mwanaume uliyetulia, usiye na mambo mengi, yaani uko na Mwanamke mmoja, basi hata huyo mmoja kuna uwezekano mkubwa asikupende(upendo wake ukaisha).
Mwanamke anataka kufanyiwa kila kitu, sio umpe tuu Raha Bali umpe pia karaha. Umfurahishe na umuumize. Hiyo inabaki kwenye kumbukumbu zake Daima.
Mwanamke anavyohangaika na kuteseka kwaajili yako ndio inazidisha upendo wake zaidi kwaajili yako. Kumfanya Mwanamke asihangaike kwaajili yako unatengeneza mazingira ya yeye kutokukupenda.
Zingatia, Wanawake wengi hujizuia na ku- pretend kuwa hawangaika na wewe ili kukufanya wewe uhangaike na wao. Na wakifanikiwa kukuhangaisha alafu wao wakawa wame-relax unakuwa umekwisha.
Kwa Sisi Watibeli, Mwanamke akijifanya hahangaiki kwaajili yako, na Sisi tunauchuna kimya, tunajua Wanawake sio wavumilivu linapokuja suala la hisia zao. Hivyo lazima watajidhihirisha tuu. Wanawake huwamudu wanaume wenye tabia ya kike ya kukukosa uvumilivu.
Kwa mfano, Mwanamke akiwa amekuchunia ili kutingisha kibiriti, mwanaume nawe unatakiwa kunyamaza kabisa kama huna habari. Maumivu anayoyapata Mwanamke katika kipindi hicho humuongezea upendo dhidi yako kuliko utakavyomtafuta.
Kiuchumi, elewa kuwa mwanamke hawezi kukupa Pesa yake au Zawadi kama hakupendi. Kadiri Mwanamke anavyojitoa kwako kiuchumi ndivyo anavyozidi kukupenda zaidi. Kinachoumiza (upendo) ni kule kujitoa, iwe ni kimwili, kihisia, Kiroho au kiuchumi.
Mwanamke kurudiana na Mwanaume wake wa zamani aliyemuumiza ni rahisi zaidi kuliko kurudiana na Mwanaume ambaye walikuwa wanapendana pasipo kujitoa (maumivu).
Ma- ex hatari Kwa Mpenzi wako ni wale ambao alijitoa kwao kikamilifu (alijiumiza zaidi kwao) kuliko wale ambao walimjali yeye zaidi kuliko alivyowajali wao. Mapenzi na Wivu (maumivu) Kwa Mwanamke ni Pete na kidole. Huwezi kutenganisha.
Mwanamke asiyejitoa kwako(asiyejiumiza au usiyemuumiza) hujaweka chochote katika moyo wake. Yaani yeye ni mwepesi kwake.
Tukija kwenye mambo ya Uzazi
Mwanamke anapenda mtoto Kutokana na ule uchungu anaoupata siku ya kujifungua. Zingatia piah! Kadiri Mwanamke anavyopata shida, maumivu au uchungu kuanzia kubeba mimba mpaka kujifungua ndivyo upendo wake unavyokuwa maradufu Kwa mtoto huyo. Ni tofauti na mimba au kujifungua kusiko na uchungu au maumivu Makali.
Huwezi linganisha upendo wa Mama aliyejifungua Kwa uchungu na kusukuma mtoto(kuzaa) ukalinganisha na upendo wa Mama ambaye amefanyiwa modification katika kuzaa iwe Kwa Teknolojia au Kwa uparesheni tena asisikie Maumivu.
Huwezi ukalinganisha upendo wa mama/Mwanamke aliyezaa na kumlea mtoto Kwa mazingira ya maumivu, Mateso na uchungu, ukamlinganisha na ambaye alizaa tuu alafu hakuteseka na huyo mtoto, mtoto akalelewa na MTU mwingine au Akampeleka Kwa Bibi yake.
Unaweza usinielewe, lakini hizi ni chunguzi zangu ambazo nimezifanyia uchunguzi na tathmini. Mwanamke hata kama anaumia na Kupata uchungu kwàajili yako. Anachopenda ni wewe kuthamini na kutambua maumivu na uchungu anaoupata kwaajili yako. Usizuie Mwanamke kupata maumivu au uchungu kwàajili yako kwani huko ni kujaribu kuzuia upendo wake kwako.
Unachoweza kufanya NI kujali, kuthamini, kuheshimu, kuyaratibu maumivu na uchungu wake kwaajili yako ili yasizidi wala yasipungue. Elewa kuwa hakuna Mwanamke anayependa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia. Elewa kuwa Wanawake wanapenda wanaume waaminifu lakini sio ule uaminifu uliopitiliza kiasi kwamba huna soko Huko nje.
Wanawake hufurahi kuona Wanawake wenzao wanafanya juu Chini kuwapindua katika nafasi zao. Wanapenda kuonewa Wivu na Wanawake wenzao.
Wanapenda kuwa na wanaume ambao ni kimbilio la Wanawake wengine. Lakini yeye aibuke mshindi. Elewa kuwa Wanawake wanapenda kuibuka ushindi katika kupendwa. Tena kupendwa na Mwanaume ambaye Wanawake wanahangaika kwaajili yake.
Mateso na maumivu anayoyapata Mwanamke pale anapohangaika kulinda upendo wako kwake ndio huzidisha upendo wake zaidi.
Mwanamke anaumia anaposikia mumewe au Mwanaume wake anatongoza Huko nje na anakubaliwa, lakini Mwanamke hiyohiyo hapendi kusikia na huweza kukudharau ikiwa utakuwa unatongoza alafu akasikia unakataliwa na Wanawake wenzake. Hii itamaanisha kwake kuwa wewe huna lolote na yeye alikuonea tuu huruma.
Zingatia, Mwanamke hatakiwi kukuonea huruma. Ila anatakiwa akuonee Wivu.
Kwenye Sex
Mwanamke anapenda Maumivu ya Raha Wakati WA sex kuliko utamu pekeake. Mikunjo ya kipekee Wakati WA tendo, mzagamuo wa nguvu unaomuumiza na kumpa Raha papo hapo humfanya Mwanamke ajihisi kudhibitiwa vilivyo katika tendo la ndoa.
Kumbinya, kumpinda, kuhakikisha mwili umechangamka Wakati wa tendo ni lazima katika kumfanya Mwanamke akukumbuke na kukupenda,akini kupiga Soft Soft, kilaini laini, anaweza akafurahi lakini sio kile kiwango cha kukukumbuka.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Kudadeki.huo ndio ukweli... nshawahi kuw soft kwa pisi flan eti naiondolea maumivu ya kutendwa na ex wake.. upuzi huo nliufaanya baada ya vile vimaswali vya kijinga wanavyoulizana wapenzi eti ooh unapenda nkufanyie nini hupendii nkufanyie nini.. unapenda mwanaume wa aina gani hupend wa aina gani.. basi nipo kujikuta mr romantic, mr soft touch, gentleman flan hivi.. kumbe baada ya mda dem anakuzoea nakuona umepo poa tu.. baadae nakuja kuta yule bad man aliyemliza kumbe wana mawasiliano ya siri na ana mbandua show show... kudadek nkajua kweli panapouma ndio patamu... hawa wajukuu wa eva kwa kweli sio tu waliambiwa watazaa kwa uchungu bali pia kupenda kwa uchungu ni hako yao.. ile pisi nlipiga chini na u gentleman ukaishia hapo.. sasa hv ni mr bad man tu, naungana na tycoon kwenye hili, tusiwalee kama sisi ni baba zao, watatudharau, wanaume wanaodekeza sana wake zao ndio wanaokaziwa wake zao na vijamaa vya ajabu ajabu tu.
Taikon umenifungua macho.
Sema tatizo sasa kubadilisha hii personality ya utulivu na kuwa playboy naona kazi.
Respect, ngoja nifanye uchunguzi.
Sijawahi kuwa playboy maisha yangu yote ila michezo ya wanawake inataka iniforce niwe playboy.Usijekuwa Playboy Kwa sababu ya andiko hili Mkuu.
Mada nimeikubali sana hiiAnaandika Robert Heriel
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu.
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi kukupenda sana!
Naweza kusema Upendo wa Mwanamke umeumbwa katika maumivu na uchungu. Taikon Leo unataka kusemaje? Subiri Ndugu msomaji utanielewa polepole tuu.
Mwanamke kama haumii na Hana uchungu na wewe jua kabisa huyo hakupendi. Ili akupende au upime upendo wake ni lazima aumie au Kupata uchungu juu yako na mwanamke hawezi kukupenda Ile yenyewe kama hujawahi kumuumiza au kumpa uchungu.
AINA ZA MAUMIVU:
1. Maumivu ya Kihisia
2. Maumivu ya Kimwili
3. Maumivu ya kiuchumi
Mwanamke kikawaida ili azidi kukupenda lazima umuumize au ajiumize kwaajili yako, yaani ajitie uchungu katika moja ya mambo hayo Matatu au yote Kwa pamoja kwaajili yako. Mwanamke unaweza ukamjali na akadai anakupenda Kwa sababu unamjali Kwa karibu kila kitu lakini elewa huo upendo ni Fake sio halisi.
Kumjali Mwanamke ni jukumu la mwanaume lakini hakumfanyi huyo Mwanamke akupende Kwa dhati. Wanawake wengi (sio wote) hupenda wanaume wenye Wanawake wengi. Yaani ukiwa Mwanaume unayewaumiza Wanawake wengi kimapenzi (yaani Leo umepiga huyo ukaacha ukafuata wengine) upo katika mazingira ya kupendwa zaidi na Wanawake.
Tofauti na ukiwa Mwanaume uliyetulia, usiye na mambo mengi, yaani uko na Mwanamke mmoja, basi hata huyo mmoja kuna uwezekano mkubwa asikupende(upendo wake ukaisha).
Mwanamke anataka kufanyiwa kila kitu, sio umpe tuu Raha Bali umpe pia karaha. Umfurahishe na umuumize. Hiyo inabaki kwenye kumbukumbu zake Daima.
Mwanamke anavyohangaika na kuteseka kwaajili yako ndio inazidisha upendo wake zaidi kwaajili yako. Kumfanya Mwanamke asihangaike kwaajili yako unatengeneza mazingira ya yeye kutokukupenda.
Zingatia, Wanawake wengi hujizuia na ku- pretend kuwa hawangaika na wewe ili kukufanya wewe uhangaike na wao. Na wakifanikiwa kukuhangaisha alafu wao wakawa wame-relax unakuwa umekwisha.
Kwa Sisi Watibeli, Mwanamke akijifanya hahangaiki kwaajili yako, na Sisi tunauchuna kimya, tunajua Wanawake sio wavumilivu linapokuja suala la hisia zao. Hivyo lazima watajidhihirisha tuu. Wanawake huwamudu wanaume wenye tabia ya kike ya kukukosa uvumilivu.
Kwa mfano, Mwanamke akiwa amekuchunia ili kutingisha kibiriti, mwanaume nawe unatakiwa kunyamaza kabisa kama huna habari. Maumivu anayoyapata Mwanamke katika kipindi hicho humuongezea upendo dhidi yako kuliko utakavyomtafuta.
Kiuchumi, elewa kuwa mwanamke hawezi kukupa Pesa yake au Zawadi kama hakupendi. Kadiri Mwanamke anavyojitoa kwako kiuchumi ndivyo anavyozidi kukupenda zaidi. Kinachoumiza (upendo) ni kule kujitoa, iwe ni kimwili, kihisia, Kiroho au kiuchumi.
Mwanamke kurudiana na Mwanaume wake wa zamani aliyemuumiza ni rahisi zaidi kuliko kurudiana na Mwanaume ambaye walikuwa wanapendana pasipo kujitoa (maumivu).
Ma- ex hatari Kwa Mpenzi wako ni wale ambao alijitoa kwao kikamilifu (alijiumiza zaidi kwao) kuliko wale ambao walimjali yeye zaidi kuliko alivyowajali wao. Mapenzi na Wivu (maumivu) Kwa Mwanamke ni Pete na kidole. Huwezi kutenganisha.
Mwanamke asiyejitoa kwako(asiyejiumiza au usiyemuumiza) hujaweka chochote katika moyo wake. Yaani yeye ni mwepesi kwake.
Tukija kwenye mambo ya Uzazi
Mwanamke anapenda mtoto Kutokana na ule uchungu anaoupata siku ya kujifungua. Zingatia piah! Kadiri Mwanamke anavyopata shida, maumivu au uchungu kuanzia kubeba mimba mpaka kujifungua ndivyo upendo wake unavyokuwa maradufu Kwa mtoto huyo. Ni tofauti na mimba au kujifungua kusiko na uchungu au maumivu Makali.
Huwezi linganisha upendo wa Mama aliyejifungua Kwa uchungu na kusukuma mtoto(kuzaa) ukalinganisha na upendo wa Mama ambaye amefanyiwa modification katika kuzaa iwe Kwa Teknolojia au Kwa uparesheni tena asisikie Maumivu.
Huwezi ukalinganisha upendo wa mama/Mwanamke aliyezaa na kumlea mtoto Kwa mazingira ya maumivu, Mateso na uchungu, ukamlinganisha na ambaye alizaa tuu alafu hakuteseka na huyo mtoto, mtoto akalelewa na MTU mwingine au Akampeleka Kwa Bibi yake.
Unaweza usinielewe, lakini hizi ni chunguzi zangu ambazo nimezifanyia uchunguzi na tathmini. Mwanamke hata kama anaumia na Kupata uchungu kwàajili yako. Anachopenda ni wewe kuthamini na kutambua maumivu na uchungu anaoupata kwaajili yako. Usizuie Mwanamke kupata maumivu au uchungu kwàajili yako kwani huko ni kujaribu kuzuia upendo wake kwako.
Unachoweza kufanya NI kujali, kuthamini, kuheshimu, kuyaratibu maumivu na uchungu wake kwaajili yako ili yasizidi wala yasipungue. Elewa kuwa hakuna Mwanamke anayependa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia. Elewa kuwa Wanawake wanapenda wanaume waaminifu lakini sio ule uaminifu uliopitiliza kiasi kwamba huna soko Huko nje.
Wanawake hufurahi kuona Wanawake wenzao wanafanya juu Chini kuwapindua katika nafasi zao. Wanapenda kuonewa Wivu na Wanawake wenzao.
Wanapenda kuwa na wanaume ambao ni kimbilio la Wanawake wengine. Lakini yeye aibuke mshindi. Elewa kuwa Wanawake wanapenda kuibuka ushindi katika kupendwa. Tena kupendwa na Mwanaume ambaye Wanawake wanahangaika kwaajili yake.
Mateso na maumivu anayoyapata Mwanamke pale anapohangaika kulinda upendo wako kwake ndio huzidisha upendo wake zaidi.
Mwanamke anaumia anaposikia mumewe au Mwanaume wake anatongoza Huko nje na anakubaliwa, lakini Mwanamke hiyohiyo hapendi kusikia na huweza kukudharau ikiwa utakuwa unatongoza alafu akasikia unakataliwa na Wanawake wenzake. Hii itamaanisha kwake kuwa wewe huna lolote na yeye alikuonea tuu huruma.
Zingatia, Mwanamke hatakiwi kukuonea huruma. Ila anatakiwa akuonee Wivu.
Kwenye Sex
Mwanamke anapenda Maumivu ya Raha Wakati WA sex kuliko utamu pekeake. Mikunjo ya kipekee Wakati WA tendo, mzagamuo wa nguvu unaomuumiza na kumpa Raha papo hapo humfanya Mwanamke ajihisi kudhibitiwa vilivyo katika tendo la ndoa.
Kumbinya, kumpinda, kuhakikisha mwili umechangamka Wakati wa tendo ni lazima katika kumfanya Mwanamke akukumbuke na kukupenda,akini kupiga Soft Soft, kilaini laini, anaweza akafurahi lakini sio kile kiwango cha kukukumbuka.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
UkweliMen are from mars, women are from venus kimeeleza kwa kina sana hili. na ndio maana ndoa zinazoonekana zenye utulivu wa muda mrefu sana kupita kiasi huishia kuvunjika kimya kimya na watu wao wa karibu kubakia kushangaa tuu mbona hawa hawajawahi hata kuhisiwa ugomvi.
Except for me, mtu wa kuniumiza moyo sitaki bora niwe singleAnaandika Robert Heriel

hutaki ukweliExcept for me, mtu wa kuniumiza moyo sitaki bora niwe single
Except for me, mtu wa kuniumiza moyo sitaki bora niwe single
Kwenye andiko kuna mistari inataka kutuyumbisha.
Msimamo ni ule ule KATAA NDOA
Mada nimeikubali sana hii
Sijawahi kuwa playboy maisha yangu yote ila michezo ya wanawake inataka iniforce niwe playboy.
Nafikiri Mungu muumba aliliona hili kabla ya kutuumba ila ukaweka utaratibu mzuri , Namna ya kudhibiti hivi viumbe katika njia ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ila kwa kuoa. Hii imethibitika katika dini na hata mila za babu zetu kabla ya kuifaham dini waliishi hivyo na walidumu.Anaandika Robert Heriel