Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

Kazi zako zitakumbukwa kwa kuwasaidia vijana kwa hii Kazi ya Fasihi andishi.
Wewe Usiache kutoa madini Maana hili ndo kusudio lako ulilokuja kulitimiza hapa Duniani.
 
Ni kweli kuna uhusiano wa Karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake ila the way mwanamke anavoumia ndio anavozidi kukutoa moyoni mwake na itafika hatua hatakua na hisia nawewe kabisa means hatokupenda tena.

Mwanamke hupenda vinavyompa chungu tamu kuliko vinavyompa tamu tuu au uchungu tuu.
 
Hii kweli kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…