Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

Kama wote somo limewaingia bhas hatutarajii kuona tena nyuzi za kulia lia huku...
 
Kulia kwenye mapenzi na kucheka kuna raha yake mapenzi bila purukushani hayanogi na hayatadumu.
 
Mwanamke aulizwi anataka afanyiwe nini, unafanya tu bila kumhoji.

H
Wengi hawapendi u mr nice kabisa, nilikuaga mr nice nilichofanywa sitosahau.
 
Mwanzoni nilikua sikuelewi kabisa taikon lakini siku hizi nazielewa sana mada zako.
 
Uko sahihi kwa mtazamo wangu kwa 100%.
Nina experience na haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…