Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

Taikon umenifungua macho.

Sema tatizo sasa kubadilisha hii personality ya utulivu na kuwa playboy naona kazi.

Respect, ngoja nifanye uchunguzi.
 
Kudadeki.
🤣🤣🤣 mshamba_hachekwi , nasikia ulipigwa tukio kama hili.
 
Mada nimeikubali sana hii
 
Ukweli
 
Kwenye andiko kuna mistari inataka kutuyumbisha.

Msimamo ni ule ule KATAA NDOA
 
Except for me, mtu wa kuniumiza moyo sitaki bora niwe single
 
Kuna watu wameumbwa kuwa nice boy na wengine bad boy. Ili nipo ili dunia ikamilike. tycoon uzi mzuri. Ongera
 
Nafikiri Mungu muumba aliliona hili kabla ya kutuumba ila ukaweka utaratibu mzuri , Namna ya kudhibiti hivi viumbe katika njia ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ila kwa kuoa. Hii imethibitika katika dini na hata mila za babu zetu kabla ya kuifaham dini waliishi hivyo na walidumu.

katika njia hii itazalisha wivu (maumivu) ambayo kimsingi yatongeza mapenzi ndani yake kwa mujibu wa mtoa mada.

Nimekubali nimeongeza kitu, ila trick hii inabdi Mwanaume kweli kweli kwasababu mapito yake unaweza kuomba kituo cha kushuka 😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…