Bei ya guta 3 za kichina ni sawa na kirukuu 1...Bora guta ya kichina
Vile vya umeme vinatumika zaidi kwenye delivery, lakini huku kwetu bado ni vichache na havijaenea sana.Achana na ivyo, kuna vile vya umeme ndio kabisaaa.
Pia izo guta nimekuta watu wanahama kwa kutumia izo.
Man.
Kila biashara ina muda wake;
Longtime maskani, tulikuwa tunatumia hiace kutoka kijiji kimoja kwenda kingine, zikaja boda na bajaji. Barabara zikapigwa lami, Hiace zikabidi zitafute route ingine. Nani atasubiri ujaze abiria ndio muondoke.
Hiace zikapinduliwa na probox/mchomoko. Nenda Kigoma, hakuna mtu anapanda hiace.
Teksi zikapunduliwa na boda/uber/bajaji.
Mtu hawezi kukaa foleni kusubiri hiace ijae wakati kuna bajaji/boda na mchomoko.
Ushauri; wauze virikuu wanunue maguta! Mambo hubadirika.