Vampire ni mythological creature aliyetokana na kiongozi mmoja wa Romania wa jimbo la Transylvannia
Huyo kiongozi alijulikana kama Vlad the Impaler aka Count Dracula.Jamaa alikuwa katili wa kutisha.Alitoa adhabu za kinyama kiasi kwamba raia wa pale wakadhani anapenda kuona damu ya mwanadamu.Na siku zilivyoendelea wakafikia conclusion anakunywa damu za watu
Ikulu yake nzima ilizungkwa na vichwa vya wanadamu vilivyobandikwa kwenye miti.
Ila ukifuatilia modern vampire mythology original vampire alikuwa Lilith mke wa kwanza wa Adam kabla ya Eve