Kuna ukweli kuhusu ma-zombie??

Kuna ukweli kuhusu ma-zombie??

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
kuna baadhi ya movie naonaga hawa viumbe watu ambao wanafahamika kama zombie ambao wanakula na kunywa damu za watu,sasa je kuna sehemu wamewahi kutokea hapa duniani.au ni mambo ya kufikirika tu
 
zombies na vampires ni vitu viwili tofauti!! zombies ni "mizuka" yaani wafu waliofufuka wakati vampires ni wanyonya damu za binadamu wenzao.
 
Mkuu Kongosho unahitajika huku uje utupe uzoefu wako kuhusu Mazombi...
Maana nasikia una Lizombi lako limoja.
 
Last edited by a moderator:
Vampire ni mythological creature aliyetokana na kiongozi mmoja wa Romania wa jimbo la Transylvannia

Huyo kiongozi alijulikana kama Vlad the Impaler aka Count Dracula.Jamaa alikuwa katili wa kutisha.Alitoa adhabu za kinyama kiasi kwamba raia wa pale wakadhani anapenda kuona damu ya mwanadamu.Na siku zilivyoendelea wakafikia conclusion anakunywa damu za watu

Ikulu yake nzima ilizungkwa na vichwa vya wanadamu vilivyobandikwa kwenye miti.

Ila ukifuatilia modern vampire mythology original vampire alikuwa Lilith mke wa kwanza wa Adam kabla ya Eve
 
Kiongozi ongezea nyama kidogo juu ya mke wa kwanza wa adam,kwenye bibilia imo?,iko kitabu gani na mstari upi?
 
According to myth Adam alikuwa na wake wawili.Soma vitabu vya mwanzo kabisa vinanyoongelea hiyo story utamkuta lilith

Hebu weka mistari hapa tukapekue kwenye vitabu huyu mke mwingine wa Adam
 
Jephta2003
Kiongozi ongezea nyama kidogo juu ya mke wa kwanza wa adam,kwenye bibilia imo?,iko kitabu gani na mstari upi?

Daata
Hebu weka mistari hapa tukapekue kwenye vitabu huyu mke mwingine wa Adam

Wakuu someni kitabu kimoja cha kiyahudi kinachoitwa Alphabets of Ben Sira.Kinaelezea vizuri tu huyu kiumbe lilith ni nani. Tena huyu kiumbe hakutoka ubavuni mwa Adam ila aliumbwa wakati mmoja naye
 
Naomba tuache kuhusu zombie tunajua hakuna kitu icho hapa duniani ila kuna mpya nimeona hapa, mke wa kwanza wa Adam kwa ya Hawa (eva)??? Hii sijawahi kusikia kabisa apakak rudia tena
 
Last edited by a moderator:
Kaka kinapatikana wapi ? Au Nipe link nisome mwenyewe kaka.plz
 
Vampire ni mythological creature aliyetokana na kiongozi mmoja wa Romania wa jimbo la Transylvannia

Huyo kiongozi alijulikana kama Vlad the Impaler aka Count Dracula.Jamaa alikuwa katili wa kutisha.Alitoa adhabu za kinyama kiasi kwamba raia wa pale wakadhani anapenda kuona damu ya mwanadamu.Na siku zilivyoendelea wakafikia conclusion anakunywa damu za watu

Ikulu yake nzima ilizungkwa na vichwa vya wanadamu vilivyobandikwa kwenye miti.

Ila ukifuatilia modern vampire mythology original vampire alikuwa Lilith mke wa kwanza wa Adam kabla ya Eve

Kwahyo uyo Dracula alikua vampire kweli au?
Na uyo lilith ni nan mbn sjawahi kumsikia,,em funguka zaidi mkuu
 
Mkuu Vlad the Impaler alikuwa kiongozi katili .Hakuwa na nguvu za kimiujiza wala kunywa damu.Rumours za yeye kuwa vampire zilienezwa na raia wake kutokana na adhabu alizokuwa anatoa

Lilith anapatikana katika Babylonian Talmud na Alphabets of Ben Sira.Hivyo ni vitabu vya kiyahudi ambavyo biblia ni zao lao
 
Back
Top Bottom