Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
kuna baadhi ya movie naonaga hawa viumbe watu ambao wanafahamika kama zombie ambao wanakula na kunywa damu za watu,sasa je kuna sehemu wamewahi kutokea hapa duniani.au ni mambo ya kufikirika tu
Mkuu Kongosho unahitajika huku uje utupe uzoefu wako kuhusu Mazombi...
Maana nasikia una Lizombi lako limoja.
mke wa kwanza kabla ya eva mkuu ufafanuzi kidogo
Vampire ni mythological creature aliyetokana na kiongozi mmoja wa Romania wa jimbo la Transylvannia
Huyo kiongozi alijulikana kama Vlad the Impaler aka Count Dracula.Jamaa alikuwa katili wa kutisha.Alitoa adhabu za kinyama kiasi kwamba raia wa pale wakadhani anapenda kuona damu ya mwanadamu.Na siku zilivyoendelea wakafikia conclusion anakunywa damu za watu
Ikulu yake nzima ilizungkwa na vichwa vya wanadamu vilivyobandikwa kwenye miti.
Ila ukifuatilia modern vampire mythology original vampire alikuwa Lilith mke wa kwanza wa Adam kabla ya Eve
According to myth Adam alikuwa na wake wawili.Soma vitabu vya mwanzo kabisa vinanyoongelea hiyo story utamkuta lilith
Jephta2003
Kiongozi ongezea nyama kidogo juu ya mke wa kwanza wa adam,kwenye bibilia imo?,iko kitabu gani na mstari upi?
Daata
Hebu weka mistari hapa tukapekue kwenye vitabu huyu mke mwingine wa Adam
Vampire ni mythological creature aliyetokana na kiongozi mmoja wa Romania wa jimbo la Transylvannia
Huyo kiongozi alijulikana kama Vlad the Impaler aka Count Dracula.Jamaa alikuwa katili wa kutisha.Alitoa adhabu za kinyama kiasi kwamba raia wa pale wakadhani anapenda kuona damu ya mwanadamu.Na siku zilivyoendelea wakafikia conclusion anakunywa damu za watu
Ikulu yake nzima ilizungkwa na vichwa vya wanadamu vilivyobandikwa kwenye miti.
Ila ukifuatilia modern vampire mythology original vampire alikuwa Lilith mke wa kwanza wa Adam kabla ya Eve
zombies na vampires ni vitu viwili tofauti!! zombies ni "mizuka" yaani wafu waliofufuka wakati vampires ni wanyonya damu za binadamu wenzao.