Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Unasikia😀Nasikia ni hatari Sana Gono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikia😀Nasikia ni hatari Sana Gono
acha uzinziKuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?
Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi.
Kuna yeyote alishawai kutana na hichi karibu tushare..!
KweliSio wanawake pekee hata wanaume wapo ukilala NAO au oana nao unapata mikosi mambo hayaendi kabisa
Sio wanawake tu hata wanaume yaan kuingiza midyudyu smtms inakuletea laanaKuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?
Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi.
Kuna yeyote alishawai kutana na hichi karibu tushare..!
gono ni mkosi aisee,
chezea kukojoa huku unalia....
Narudi katika swali la mada.Mtu asieamini katika mikosi, mikosi inaweza mpata!?
Mfano wengi wanaamini katika mikosi ikiwa tu biashara zake zikienda ndivyo sivyo baada ya kukutana na aina fulani ya watu.
Watanzania wengi tu na Waafrika huwaambii kitu kuhusu TB Joshua. Jamaa alikuwa kubwa la ibilisi.Amewakata sana bikra zao mbaya zaidi wakishika mimba wanafosiwa kuzitoa kwa lazima, aisee kuna Mama ulikua humwambii kitu kuhusu Emanuel TV na Scoan almanusura aende akaishi Lagos
Kuna watu humwambii kitu yaan piga ya galagaza wengine kukatwa na hao wanaona ndio sehemu ya upako kwa hio wanakula kondoo wateke makinda kabisa,Watanzania wengi tu na Waafrika huwaambii kitu kuhusu TB Joshua. Jamaa alikuwa kubwa la ibilisi.
Tangu akiwa hai niliwahi kusema yule ni wakala wa Ibilisi. Mimi nilisema kwa mujibu wa maandiko.
Hata huyu shetani wa kawe na yule wa Kimara Temboni pamoja na lile ibilisi kuu lililotoa kafara mwanae juzi ni washenzi wakubwa
Kuna nguvu kubwa katika kulala na waumini.Kuna watu humwambii kitu yaan piga ya galagaza wengine kukatwa na hao wanaona ndio sehemu ya upako kwa hio wanakula kondoo wateke makinda kabisa,
Kwa hio jamaa wanawala sana kondoo wao,Kuna nguvu kubwa katika kulala na waumini.
Kadri unavyowalala waumini Ibilisi anakuongezea mvuto.
Sana. Ndugu Mimi nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu hawa watumishi wetu ila sina haja ya kuuweka popote maana hakuna atakayebadilika.Kwa hio jamaa wanawala sana kondoo wao,
C ungeishi nae jumla...[emoji850][emoji1781][emoji23][emoji23]Niligongana na mdada 24hrs ninae nimemficha,saa kumi mchana nikaweka Mkeka makamalia wanaojua...Aaasee nilipiga Millions 3 na laki sitaa na takatakaa!
Duh! Nilimpa laki akalee anachotaka huko aendakoo,Koo Ipo hiyoo...wengine utashaangaa ukitoka kumlaa tu simu za kukopwa pesa zinafululiza tu tena ambao Soo wakurudisha baba mkwe mfanooo.
Ebwana ni hatari sana, na wewe ukiwaweka hadharani hawa mabwana wa hapa Bongo na wewe utaitwa mchicha mwiba?Sana. Ndugu Mimi nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu hawa watumishi wetu ila sina haja ya kuuweka popote maana hakuna atakayebadilika.
Imagine BBC wamefanya uchunguzi nzuri lakini Waafrika mateka wanawajia juu BBC na kuwaita mashoga