Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Pambana na shumileta wako
hivi hizi tabia za kulalamika huwa ni za kike sasa humu kila siku nyie ndo mnalialia

Tutawaazima magagulo tu mfyuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hv magagulo yanasoko cku hz? sijayaona muda mrefu sana ni tait tu cku hz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…