Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Vivyo hivyo pia hakuna ulazima wa kupenda ....
 
Kuna kitu nmekumbuka imebidi nicheke tu
 
Comrade uache kushinda ukweni, utanyimwa mke [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sawa amigo, ndio nafanya mchamato nipate jiko humu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Yaan watu wengine bhana sijui wakoje, sijui wameumbwaje, ni ushamba? ni uboya au ni uzuzu? lol,

And why JF, what so special abt JF? ushajaribu other sites? watu wanakulana kama kawaida unashangaa jf, au ni ushamba wa mitandao? au ulitendwa na mdada wa humu?

Wanawake wa JF wanawake wa JF ndio wakoje hao?? au hasira za kupenda Avatar ya mwanamke english figure rangi ya chocolate kuja kukutana nae ni bwenyenye la haja, (Sorry vibonge)[emoji23][emoji23]

Blah Blah Blah,

NB:Ulisema povu ruksa ndio nimekupa hilo ukafulie blanketi.
 
hahaaaa"".anahitaji lakufulia ""maturubai ya motor vehicle...
 
Acha kuanika ujinga wako pambana na mtu wako huo sio uanaume mxiiiie
Hahaha, yaani nimefurahi sana siku ya leo kukutana na mtu mwenye mikucha kama wewe, halafu unaleta povu wakati una uwezo wa kuyakata.
 
Haha mkuu umewaripua
Sasa subiria mapovu [emoji23][emoji23]
Mwisho niliwaambia nakaribisha sabuni ya omo mwenye nayo aje nayo hapa.
Siku nyingine nasikia raha sana nikiona mipovu inavyomwagika humu.
Yaani mkuu hapa nilipo sina mbavu kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…