Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sawa amigo, ndio nafanya mchamato nipate jiko humu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Comrade uache kushinda ukweni, utanyimwa mke [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kila la heri swahiba! Ukipata unialike nije kula ubwabwa [emoji23]Sawa amigo, ndio nafanya mchamato nipate jiko humu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ndio maneno ya wanaume wa Uswazi yaan ukiona Nimemla, Nimemtafuna, Nimemgonga ujue Tandale's type.My reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
Ndo mana nakupigia miseleMjinga mwingine huyu,
ukivua gumegume pambana nalo ndo nyota yako hiyo
wapo wenye nyota ya vipusa wanaishukuru jf kwa kuwapa vitu vya ukweee
Usiogope shekhKila la heri swahiba! Ukipata unialike nije kula ubwabwa [emoji23]
we zunguka mbuyu tuNdo mana nakupigia misele
We utakuwa kidume.we zunguka mbuyu tu
hahaaaa"".anahitaji lakufulia ""maturubai ya motor vehicle...Yaan watu wengine bhana sijui wakoje, sijui wameumbwaje, ni ushamba? ni uboya au ni uzuzu? lol,
And why JF, what so special abt JF? ushajaribu other sites? watu wanakulana kama kawaida unashangaa jf, au ni ushamba wa mitandao? au ulitendwa na mdada wa humu?
Wanawake wa JF wanawake wa JF ndio wakoje hao?? au hasira za kupenda Avatar ya mwanamke english figure rangi ya chocolate kuja kukutana nae ni bwenyenye la haja, (Sorry vibonge)[emoji23][emoji23]
Blah Blah Blah,
NB:Ulisema povu ruksa ndio nimekupa hilo ukafulie blanketi.
Hahaha, yaani nimefurahi sana siku ya leo kukutana na mtu mwenye mikucha kama wewe, halafu unaleta povu wakati una uwezo wa kuyakata.Acha kuanika ujinga wako pambana na mtu wako huo sio uanaume mxiiiie
Mwisho niliwaambia nakaribisha sabuni ya omo mwenye nayo aje nayo hapa.Haha mkuu umewaripua
Sasa subiria mapovu [emoji23][emoji23]
Yaani nimecheka kwa sautiMy reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.