Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
 
Aisee!!👿 nchi hii kutoboa ni kazi saana!!
 
Wanawake wamerasmisha biashara ya ukahaba ya kimtandao "network marketing ya kikahaba" bila kusimama barabarani!!

Ukishamtia na ukampa pesa thamani yake Huwa inashuka hapo hapo!I prefer anaetoa halafu Hana njaa siku akikuambia amepeleza Kodi ya nyumba hats laki unaweza itafuta Kwa nguvu sana bila kuchoka coz unajisemea "yule ni mwanamke halisi,alifanya NAMI Kwa hisia na sio pesa"!!
 
Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
Kaka paschal mayala aliwai SEMA NI PESA YA UCHAKAKAVU.
 
Back
Top Bottom