Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

Hawa wamekuwa ni wapuuzi sana, kama vipi bora mtu ustaafu mapena tu kufanya mambo hayo hata kama una miaka 30. Qumambuzi, kila demu anataka hela tu, hizo hela zitatoka wapi ikiwa sisi wenyewe hazitutoshi kwa mahitaji yetu? Zamani penzi lilitolewa bure mradi una nguvu za kutosha kupiga shoo iliyotukuka
Hawa walishafanya mbususu kitege uchumi.
Mie nipo na mlenda vugu vugu tuu
 
Cha ajabu kumekuwa na rank za kupata penzi kama sehemu za kupata chakula anziai gengeni kwa mama lishe mpaka hotel ya nyota tano. Kuna penzi la bei ya chini, bei ya kati na bei ya juu kutokana na aina ya wanawake unaotaka penzi lao. Wengine ni high class mpaka milioni ndio upate penzi la demu huyo
 
Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
inategemeana na mlivyokubaliana
 
Huwa wanaangalia na aina ya mtu.

Kinachonisikitisha ni guts za wanaune wenzangu wakiombwa hela na wadada wanashindwa kuwakatalia, badala yake wanakuja kulia humu, utadhani muhusika ujumbe utamfikia
 
Back
Top Bottom