Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
- Thread starter
- #101
Walivyokua wajinga atakudharau na hakutafuti tenaAkisema kakumiss mjibu "sina hela", utanishukuru baadaye!
Walivyokua wajinga atakudharau na hakutafuti tenaAkisema kakumiss mjibu "sina hela", utanishukuru baadaye!
Wakati unahonga usisahau kujiwekeza, kuwekeza kwa future yako. Kuhonga kutamu kama unavyosema ila angalia sana, majuto yake ni miaka mingi ijayo.Mi ndyo nawapenda hawa wazungu wa bongo, kuhonga ni raha sana, mi niko obsessed na kuhonga, ina raha yake na ni heshima. ILA kuibiwa kwa kufanywa ni fala/mshamba hiyo siwezekani
Hii mixer ya Pepsi, mtindi, na chipsi mayai aliokula huyo demu wako ni hatari, sipatii picha akijamba, hio harufu green rajabkaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari.
Hatari mkuu ndio maana nilimshusha mapemaHii mixer ya Pepsi, mtindi, na chipsi mayai aliokula huyo demu wako ni hatari, sipatii picha akijamba, hio harufu green rajab
Sio gharama ni swadakaMzee wa kufakamia single maza’s 😹😹
Sasa hayo mahitaji si ndo gharama zenyewe mkuu 🤣
Swadaka kwa malipo ya ngono kutoka kwa mama yao??Sio gharama ni swadaka
Yani anataka gari alikalie aliendeshe bila kujaza wese wala maintenance mfyuuu.!! 😹😹😹Umeona eeee 🤠
Ukiacha oil kuna vingi vya kufanyia maintenance, kuna kubadili tairi hata kulipeleka car wash we vipi bwana..!! 😹😹😹Hiyo sii ina oil yake yenyewe kila mwisho wa mwezi inajimwaga yenyewe
Uoe, usioe kuchunwa kuko pale pale mzee baba 😹😹😹Ndio maana mie sioi ngooo....
Masharti yaendane na matunzo upo babu wewe?? 😹Ndio tupeane bila masharti sasa
Nikupe namba za mchina ulipie mwenyewe 😹🤣Mweeee baki na mbususu yako
Na wewe mpk unakubali outings kuna kitu unakivizia upewe 😹Huo ni utapeli yaani unanialika unitoe out afu unataka mi ndio nikulipie bill zako
😹😹😹Uzi ufungwe, 😂😂😂😂
Mchina atakuwa anakula mbususu ya mshangazi...sasa hao sii ndio wana vibamia pro max 🤣🤣🤣🤣Nikupe namba za mchina ulipie mwenyewe 😹🤣