Hiyo sii ina oil yake yenyewe kila mwisho wa mwezi inajimwaga yenyewe😹😹😹 Yeye anataka kutumia chombo bila kufanya service eboooh.!!

Umefanya vizuri sana kiongozi , inaonekana wewe si mwanamme wa Dar. Mwanamke asiye wako si wa kumpa hela hata kidogo na wala usimuonee huruma. Kuna wengine wanajifanya wana matatizo kumbe wana mpango wa kutoka usiku kwenda kujirusha na kuhonga wanaume wengine ili waonekane nao wana uwezo. Wewe uliyempa hela ukiomba game anakuzungusha, mara niko mwezini mara sijuwi mfungo wa Ramadhani lakini anatombwa na wengine wasiomtaka tena kwa bure.Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
Mtu huna nia naye unamlipia kwa lipi, kwani yeye hana wazazi?N Raha sana kumpa Hela yake mapema Ili kuepukana na kauli za bby nikuambie kitu Kila baada ya cku mbilii...
Lipia huduma ,jihudumie pitaa hv naye apite hv...
Hata robo hakupaswa kumpa, si alijialika mwenyewe?😹😹😹😹😹😹 Lita Moja umekasirika mdau💔
Inaelekea Pascal Mayalla alishalizwaga, si bure. Pia anaonekana ni mtu wa kulia lia mno.Kaka paschal mayala aliwai SEMA NI PESA YA UCHAKAKAVU.
Whaat, unampa hela mwanamke ili iweje ikiwa ni wa kuchapa tu na kumkwepa? Ni ujinga kumpa hela ama kumtunza mwanamke asiye wako.Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
Ni ubinafsi wa hali ya juu sanaWanawake kwa ujumla wamekuwa kama na ulemavu flani hivi.., mtu anapesa za kutosha tu bank, inafika hata 10mil., ila anakomaa kukuomba wewe elfu 50 ya mchezo kama anakudai vile.., hapo hajui umetoka kulipia watoto wanne ada jana yake tu.., huu ni ulemavu wa akili, na ni ubinafsi!
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.Sema hawa wenzetu ni nature yao tu inawasumbua,mana mda mwingine unakutana na manager wa ofisi fulani,ukimlomba utasikia nina hiki mara kile nisupport nauli ya ndege kesho naenda mwz nina semina, na hata akiwa anarudi,kesho narudi nisupport na mda huo kalipwa hela ya semina
Akiniambia ana genye na wakati huo sina pesa za kufuja siendi ni mpaka niwe na kauchakavu.Sawa amegharamiwa na kweli ni pisi ya maana tatizo yeye ndio kataka faragha sasa kwa nini atake kunilipisha pesa
Ni ancient tradition, unalipia huduma I.e ni service chargeKumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
Na hili kundi ndio wengi balaaSi Bora hata huyo kakupa nyama Kuna wale wanaomba bila hata kutoa tendo na wanaomba kwa fujo kama afisa mikopo wa mtandaoni
Umeona eeee ðŸ¤ðŸ˜¹ðŸ˜¹ðŸ˜¹ Yeye anataka kutumia chombo bila kufanya service eboooh.!!
kumlomba
Huna pesa usiende vinginevyo utaumbuka. There is no free lunch in Africa lazima uliwe ili uleAnakualika out, huku hajui mfuko wako ukoje? Wanawake ni wa kuishi nao kwa akili sana.
But mtu kakuita, hivi unaweza kualika mtu kama huwezi kumgharamia?Huna pesa usiende vinginevyo utaumbuka. There is no free lunch in Africa lazima uliwe ili ule
Sio kweli naweza kukupenda nanisiwe na moyo wa kukupa hata Mia na ninaweza nisikupende kabisa nikakupa pesa.Hakuna ulazima ila ni mapenzi yenu kwa wadada ndio yanawafanya mtoe hela.
Kwa bongo haiko hivyo. Usijethubutu utadharilika. Atakualika mtakula na kunywa halafu kwenye malipo unakuta anajizungusha. Ukialikwa na mwanamke usiende 1200 zako utadharilikaBut mtu kakuita, hivi unaweza kualika mtu kama huwezi kumgharamia?
Tatizo wadada wa kitanzania wanapenda lifestyle ya kizungu lakini hawawezi kuishi kama hao wazungu. Kanuni ni kwamba ukimualika mtu mtoko unamlipia huduma, la kama vipi mgawane bills.
Mi ndyo nawapenda hawa wazungu wa bongo, kuhonga ni raha sana, mi niko obsessed na kuhonga, ina raha yake na ni heshima. ILA kuibiwa kwa kufanywa ni fala/mshamba hiyo siwezekaniBut mtu kakuita, hivi unaweza kualika mtu kama huwezi kumgharamia?