cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwanini lakini? 😂😂😂😂😂Si Bora hata huyo kakupa nyama Kuna wale wanaomba bila hata kutoa tendo na wanaomba kwa fujo kama afisa mikopo wa mtandaoni
Kwanini lakini? 😂😂😂😂😂Si Bora hata huyo kakupa nyama Kuna wale wanaomba bila hata kutoa tendo na wanaomba kwa fujo kama afisa mikopo wa mtandaoni
Kanilaghai nimetumia mda wangu pesa na energy kumkuna aridhike afu bado anataka anichomoe na pesa zangu huo si ustaarabuUmemind umetumika hujalipwa au💔
😂😂😂😂😂Yani kwanza nimecheka huu uzi…!! 😹😹😹
Tulikubaliana humu wanawake hatuna cha kuwaofa zaidi ya mbususu, na nyie mkakiri ni kweli mwanamke apewe pesa ili atoe mbususu mlombe..!!
Yeye atoe pesa km hataki akalombe binamu zake..!! 🤣
Pesa tunatumia wote sio nimpe yeye kama malipounakamua halafu humpi hela
Uzi ufungwe, 😂😂😂😂Wee hiyo michezo ya kubet hatutaki 😹😹
Kwenye kikao chetu tulikubaliana mwanaume wa kumvumilia aliyekuoa tu.!! Waliobaki ni bata tredi nipe nikupe..!! 🤣
Sawa amegharamiwa na kweli ni pisi ya maana tatizo yeye ndio kataka faragha sasa kwa nini atake kunilipisha pesaAcha starehe kama huwez kugharamikia,,,,mpk apendeze umpende kuanzia nywele mavazi kuna vidume vinahudumia,,,,! Yale ya bure yamejaa fungus na U.T.I,,,, ! Kwa stahili hii mkeo watakugongea sana
Wanawake kwa ujumla wamekuwa kama na ulemavu flani hivi.., mtu anapesa za kutosha tu bank, inafika hata 10mil., ila anakomaa kukuomba wewe elfu 50 ya mchezo kama anakudai vile.., hapo hajui umetoka kulipia watoto wanne ada jana yake tu.., huu ni ulemavu wa akili, na ni ubinafsi!Si Bora hata huyo kakupa nyama Kuna wale wanaomba bila hata kutoa tendo na wanaomba kwa fujo kama afisa mikopo wa mtandaoni
Safi... aise we ni wa pekeeHakuna ulazima ila ni mapenzi yenu kwa wadada ndio yanawafanya mtoe hela.
Mi huyo demu katumiwa laki 8 ya mchezo nikiwa nae room nikajua hapa nyeupe kumbe na yeye ananipigia hesabuWanawake kwa ujumla wamekuwa kama na ulavu flani hivi.., mtu anapesa za kutosha tu bank, inafika hata 10mil., ila anakomaa kukuomba wewe elfu 50 ya mchezo kama anakudai vile.., hapo hajui umetoka kulipia watoto wanne ada jana yake tu.., huu ni ulemavu wa akili, na ni ubinafsi!
Eeh, hii kali sasa, ndo nasikia leoGharama gani tena mzeza wakati mlenda huo huo wa ugali unatumia kujipa raha
Wanaomba pesa za mchezo kwa nguvu, ila siku wakipokea wanakausha 😂😂Mi huyo demu katumiwa laki 8 ya mchezo nikiwa nae room nikajua hapa nyeupe kumbe na yeye ananipigia hesabu
Huo ni utapeli yaani unanialika unitoe out afu unataka mi ndio nikulipie bill zako😹😹😹 Yeye anataka kutumia chombo bila kufanya service eboooh.!!
Alinuna kwenye gari kumuuliza kumbe njaa ina mfirimbaAnapenda kula huyo,duuh...
Ujue Pepsi takeaway ni kubwa ile inavimbisha kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Alinuna kwenye gari kumuuliza kumbe njaa ina mfirimba
Sema hawa wenzetu ni nature yao tu inawasumbua,mana mda mwingine unakutana na manager wa ofisi fulani,ukimlomba utasikia nina hiki mara kile nisupport nauli ya ndege kesho naenda mwz nina semina, na hata akiwa anarudi,kesho narudi nisupport na mda huo kalipwa hela ya semina
Mweeee baki na mbususu yako😹😹😹 Kuna mzigo nimeweka order kwa mchina imefeli km 10mln njoo ulipie basi..!!
Ndio tupeane bila masharti sasaHata nyie mtakufa bila mbususu tunategemeana mkuu 😹😹
Ndio maana mie sioi ngooo....mzabzab si nakwambia mimi hakuna pa kuchomekea hata ukioa huduma zinaendelea tena mpk ndugu wa mke utahudumia..!! Aiiiiihyy nyie jamani hukuuuuuu 😹🤣🤣🤣