Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Bure kivipi tena na wakati unalisha jitu na meno ya 32acha kucheza na biashara za watu, ukitaka kupewa bure oa..
Aisee!!👿 nchi hii kutoboa ni kazi saana!!Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
ikiwa huwezi kuhudumia nunua na ikiwa hutaki vyote jichukulie sheria mkononi hata uko kuna gharama kidogo ya vitendea kazi..Bure kivipi tena na wakati unalisha jitu na meno ya 32
Gharama gani tena mzeza wakati mlenda huo huo wa ugali unatumia kujipa rahaikiwa huwezi kuhudumia nunua na ikiwa hutaki vyote jichukulie sheria mkononi hata uko kuna gharama kidogo ya vitendea kazi..
Kaka paschal mayala aliwai SEMA NI PESA YA UCHAKAKAVU.Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani na kusisitiza muoane,
ukikubali akifika Cha kwanza anataka vinywaji alewe umlombe ukishamlomba atataka msosi vinywaji tena,
baada ya hapo hata kama una usafiri unataka umpeleke huko kwao anakataa atataka umpe pesa ya nauli na ya kumlomba.
Anasahau yeye ndio aliye kulaghai na inatakiwa yeye ndio akulipe.
Mmoja kaniletea drama za namna hii wakati namrudisha naona kama haeleweki kumbe ana njaa baada kufika sehemu kwa kunikomoa kaagiza chips kavu 1 + mishkaki chips mayai 1 Pepsi take away na maziwa mtindi lita 1 kaanza kula humohumo kwenye gari. Moyoni nikasema huyu sifiki nae mbali nikamshusha njiani nikamatafutia boda na nauli nikalipa nipo njiani narudi naona text "Hata haujanipa pesa jamani" siku mjibu hadi leo.
lazima gharama iwepo iwe ya mafuta, sabuni hata wale wanapiga ya kutumia nzi kuna gharama ya kuwakamata!Gharama gani tena mzeza wakati mlenda huo huo wa ugali unatumia kujipa raha