Kuna ulimwengu usioonekana?

Nimesoma comments nimegundua watu bado sana yani mnaleta mambo ya imani kweny reality nimecheka sana😂
 
Na hata kikoba mrithi naye ataporwa kikoba kitarudi kwa wenyewe baada ya Ile hesabu kusudiwa kutimia
 
Duu! Aiseee !! Na sisi je, tufanye nn kuona hayo
 
Hayo matukio ukiyajua kama ni mabaya yanaumiza...

Ukikaa kimya yakitokea yanaumiza zaidi
Achana na hayo mabaya....kama umeona mazuri yalete hapa tuyajadili mfano umeona fursa gan huku mbele katika secta yoyote inakua kwa haraka. vijana tuanze kujiwekeza ili badae wajukuu wasituite babu zao wachawi
 
Ulimwengu mwingine upo tu ,sema wengi ndio hawajui au hawaamini.

Nakumbuka spirit wa kwanza kupatana naye alikuwa mjomba nliyempenda Sana alipokuwa hai ,nlikuwa nalia kaburini kwake ghafla naona shape yake kando ya jeneza dogo akipiga moshi polepole. Nlikimbia Sana kwa kutense ,all in all mzimu ule umenisaidia Sana mpaka kufikia kunipa elimu ya kuwaita viumbe.

Kila mtu na Siri yake Ila ukiwaheshimu hao jamaa wanakupa codes nyingi tu bila masharti yyte.
Sema waafrika wengi wakiona roho Kama hazirai au kujikojolea mbio kwa maombi msikitini au kanisani.
 
Ulimwrngu huu wa kiroho unatusidiaje vijana kubeti ili tufanijiwe kwa njia ya kubashiri
Haya mambo huwezi ambiwa mtandaoni kaka ,Ila Kuna roho ukiita tu hata bila mkataba ,ukijua kuwabind carefully na majina takatifu ya mungu ,wanakupa kwa njozi hizo vitu .
Sema vijana wengi ni waoga Sana siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…