Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu,.niulize tu ya kiroho au mwili huu wa kawaida?Wakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mwamba.
Ya kawaida mkuu wangu asante sanaPole mkuu,.niulize tu ya kiroho au mwili huu wa kawaida?
Na hata kikoba mrithi naye ataporwa kikoba kitarudi kwa wenyewe baada ya Ile hesabu kusudiwa kutimiaMchezo huu ni wa Kikoba...
Unaweza taka kujiunga...ila yawezekana ulishaungwa tayari [emoji23]
Mchezo huu unavikoba vingi...
Kikoba hiki kimekuwa na watu wengi sana na kinafahakika kuongoza kila mara.
Watu wengi wa kiume na kike wapo kwenye kikoba hiki...
Si kwakuwa kinapesa nyingi ndio maana, Wala ila watu wanakipenda tuu..[emoji23]
Siku moja ktk kikoba hiki bana kama mjuavyo wanawake bana mmoja wao aliwashamoto...
Ikimbukwe kikoba hiki na wanaume wapo ila sio sana kwa kile kinachosemekana vikoba ni vya wanawake tyuu [emoji23]
Huwezi amini moto huu haukuzima uliendelea kua mkali na aliyewasha moto kabla ya kuwasha alimpa chakula mtu mwingine ale, yule aliyepewa chakula akapata vita kubwa ila alipona vita...
Kikoba hichi ambacho kinashika nafasi mara kwa mara kulikuja kutokea kikoba kingine ghafla Yani ghafla...
Kikoba hicho hata kilipotokea hakikujulikana bali kilizuka tu na baadae kikakiondoa kwa kukifukuza kile kikoba kingine...
Walisikika wacheza vikoba wakidai deni kwa malalamiko makali [emoji23][emoji23]
unamaana ghaniNimesoma comments nimegundua watu bado sana yani mnaleta mambo ya imani kweny reality nimecheka sana😂
Una amini kuna ulimwengu usio onekanaunamaana ghani
usio onekana kivip?Una amini kuna ulimwengu usio onekana
Kwani kichwa kinasemaje hapo juuusio onekana kivip?
Duu! Aiseee !! Na sisi je, tufanye nn kuona hayoUlimwengu wa Roho ni mpana...
Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...
Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...
Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo
Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...
Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...
Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...
Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...
Kuna mambo yajayo...
Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...
Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...
Kusema nogopa...
Achana na hayo mabaya....kama umeona mazuri yalete hapa tuyajadili mfano umeona fursa gan huku mbele katika secta yoyote inakua kwa haraka. vijana tuanze kujiwekeza ili badae wajukuu wasituite babu zao wachawiHayo matukio ukiyajua kama ni mabaya yanaumiza...
Ukikaa kimya yakitokea yanaumiza zaidi
Haya mambo huwezi ambiwa mtandaoni kaka ,Ila Kuna roho ukiita tu hata bila mkataba ,ukijua kuwabind carefully na majina takatifu ya mungu ,wanakupa kwa njozi hizo vitu .Ulimwrngu huu wa kiroho unatusidiaje vijana kubeti ili tufanijiwe kwa njia ya kubashiri