Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

Hizo spray na perfume kama mtu hajaoga ndo zinazidisha harufu balaa. Ushauri utolewe waoge wapake deodorant wakimbilie mihangaikoni
 
Umeandika kwa uchungu Sana mkuu hahahahah
 
Hili somo la usafi wa mwili lifundishwe toka chekechea kwa njia ngumu ikiwemo viboko na kuwaanika wale watakaoonekana wanakiuka viwango vya usafi mbele ya wanafunzi wenzao. Ukijenga hiyo nidhamu kule chini huku juu huwezi kupata tatizo kubwa.
 
Hapo bado harufu ya maku
 
Nauza hii gari mkuu...
 

Attachments

  • tapatalk_1562647940254.jpeg
    39.5 KB · Views: 1
Kuna jamaa nilikutana sehemu kwapa linatema harufu ya mchanganyiko wa tyubu ya baiskeli na vitunguu swaumu halafu kakazana kuniongolesha huku anaweka mikono yake kwangu.Bila mazoezi ya pumzi nilikuwa narudisha chenji.Naunga mkono hoja.
Oiii.
 
Tafuta hela mkuu, uachane na hizo kadhia kama unataka ustaarabu,,,,!" Nunua usafiri binafsi, weka air fresh nzuri utakayo ,,,, pia usafiri binafs utakuwa na AC! Huku changanyikeni waachie wanaomudu
 
 
Kwani ukigaragara na mwanamke ndio unanuka,watake radhi wanawake tafadhali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…