Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
- Thread starter
- #21
The publicWho decides public standard?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The publicWho decides public standard?
Unaiongeleaa Dar ipi mkuu?Watu wanangangana tu kuish dar maisha magum jua kali dum la maji tu 500 apo anawaza aoge au aifanye naul mana dar uez kutembea hata kilomita 3 kwa mguu.. ndio mana hata wadada unakuta sura safi ila miguu kama katoka kwenye ngoma
The public
habari ya leo abigailUchafu ni suala la mtu binafsi,hata ukisambaza sabuni bure watazieka pembeni wao nduki.
habari ya leo abigail
watanzania tusifike hatua hiii..,salamu ni utamaduni wetu mekuDr, tunajadili usafi kwenye daladala, mcheki PM; Hana baya huyo!
watanzania tusifike hatua hiii..,salamu ni utamaduni wetu meku
Hakuna mabafu, piga kazi kuoga kwenuKazini kwenu hakuna mabafu unaweza kuoga kabla haujarudi nyumbani
Umeandika kwa uchungu Sana mkuu hahahahahSaa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua?
Najua wanaume hatupaswi kufuatiliana, lakini kuna mipaka! Maisha yamekuwa magumu? Sawa. Lakini kuna kile kiwango cha chini kabisa cha kujiheshimu—bare minimum! Usiseme hauna hela, kuna hata vile viperfume vya buku unajipaka, lakini hapana, wewe umeridhika na harufu yako ya kufa mtu.
Bora yangeishia hapa, lakini hapana, kuna wale ambao wamevaa boxer ya wiki nzima bila kufua! Aisee, ukikaa kwenye siti, halafu mtu akashika bomba pembeni yako, unaweza kupatwa na kiwewe kwa mshangao wa kugundua tofauti pekee kati binadamu na beberu ni manyoya! Na hata hilo beberu linaweza kuwa safi zaidi.
Acha uvivu wa kujitunza. Tuache kutesana. Usituletee hewa chafu asubuhi na mapema!
Hili somo la usafi wa mwili lifundishwe toka chekechea kwa njia ngumu ikiwemo viboko na kuwaanika wale watakaoonekana wanakiuka viwango vya usafi mbele ya wanafunzi wenzao. Ukijenga hiyo nidhamu kule chini huku juu huwezi kupata tatizo kubwa.Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua?
Najua wanaume hatupaswi kufuatiliana, lakini kuna mipaka! Maisha yamekuwa magumu? Sawa. Lakini kuna kile kiwango cha chini kabisa cha kujiheshimu—bare minimum! Usiseme hauna hela, kuna hata vile viperfume vya buku unajipaka, lakini hapana, wewe umeridhika na harufu yako ya kufa mtu.
Bora yangeishia hapa, lakini hapana, kuna wale ambao wamevaa boxer ya wiki nzima bila kufua! Aisee, ukikaa kwenye siti, halafu mtu akashika bomba pembeni yako, unaweza kupatwa na kiwewe kwa mshangao wa kugundua tofauti pekee kati binadamu na beberu ni manyoya! Na hata hilo beberu linaweza kuwa safi zaidi.
Acha uvivu wa kujitunza. Tuache kutesana. Usituletee hewa chafu asubuhi na mapema!
Hapo bado harufu ya makuSaa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua?
Najua wanaume hatupaswi kufuatiliana, lakini kuna mipaka! Maisha yamekuwa magumu? Sawa. Lakini kuna kile kiwango cha chini kabisa cha kujiheshimu—bare minimum! Usiseme hauna hela, kuna hata vile viperfume vya buku unajipaka, lakini hapana, wewe umeridhika na harufu yako ya kufa mtu.
Bora yangeishia hapa, lakini hapana, kuna wale ambao wamevaa boxer ya wiki nzima bila kufua! Aisee, ukikaa kwenye siti, halafu mtu akashika bomba pembeni yako, unaweza kupatwa na kiwewe kwa mshangao wa kugundua tofauti pekee kati binadamu na beberu ni manyoya! Na hata hilo beberu linaweza kuwa safi zaidi.
Acha uvivu wa kujitunza. Tuache kutesana. Usituletee hewa chafu asubuhi na mapema!
Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua?
Najua wanaume hatupaswi kufuatiliana, lakini kuna mipaka! Maisha yamekuwa magumu? Sawa. Lakini kuna kile kiwango cha chini kabisa cha kujiheshimu—bare minimum! Usiseme hauna hela, kuna hata vile viperfume vya buku unajipaka, lakini hapana, wewe umeridhika na harufu yako ya kufa mtu.
Bora yangeishia hapa, lakini hapana, kuna wale ambao wamevaa boxer ya wiki nzima bila kufua! Aisee, ukikaa kwenye siti, halafu mtu akashika bomba pembeni yako, unaweza kupatwa na kiwewe kwa mshangao wa kugundua tofauti pekee kati binadamu na beberu ni manyoya! Na hata hilo beberu linaweza kuwa safi zaidi.
Acha uvivu wa kujitunza. Tuache kutesana. Usituletee hewa chafu asubuhi na
Kwani ukigaragara na mwanamke ndio unanuka,watake radhi wanawake tafadhali...Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua?