Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
384
Reaction score
758
Kwa nini mimi sioti ndoto?

Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ?

Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?
Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya kuzungumza na Mwanadamu Ayub 33:14_15

Kwa hiyo kama ndoto ni njia ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya mawasiliano na mwanadamu maana yake kukosa ndoto ni kukosa mlango mmoja wa kuwasiliana na ulimwengu wa roho

Ndoto ni njia ya mawasiliano kati ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili

Hivyo basi mtu anapokosa kuota ndoto maana yake anakosa njia moja wapo ya kuwasiliana na ulimwengu wa roho

Sababu za kukosa ndoto
Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kuwa sababu ya mtu kukosa kuota ndoto na sababu hizo ni pamoja na :_

Sababu kubwa ya mtu kukosa ndoto ni sababu ambayo inatokana na umiliki wa shetani juu ya mlango wa ndoto wa mwanadamu

Ndoto ni mlango wa mawasiliano baini ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili , hivyo basi anayemiliki mlango ndiye anaye hamua nini kiingia na nini kisiingie

Shetani akipata uhalali juu ya mlango wa ndoto wa mwanadamu hata hakikisha ndoto zote za Mungu azimfikii mwanadamu ndio maana utakuta unakosa ndoto au kila ndoto nzuri utakayo hota haukumbuki

Kwanini shetani anazuia watu kuota ndoto, kwa sababu ndoto ni mlango na kama ni mlango wa kiroho kwa hiyo unaweza kutumiwa na Mungu au shetani ndio maana ikiwa shetani anaumiliki mlango wa ndoto hata uruhusu Mungu kuutumia kwa ajili ya kukusaidia

Faida ya kuota ndoto, ndoto ni njia moja wapo ya Mungu kiwasiliana na sisi, soma habari ya kuzaliwa kwa Yesu na ndoto za Yusufu na wale Mamajusi Mathayo 2:1-23

Nifanyeje ili niweze kuota ndoto, jambo la kwanza omba toba kwa Mungu juu ya jambo lolote ambalo limefungua mlango na shetani kupata uhalali juu ya lango la ndoto

Pili tumia Damu ya Yesu kuondo uhalali wa dhambi kutawala katika lango lako la ndoto Matayo 26:28

Tatu tumia Damu ya Yesu kuondoa uhalali wa sadaka zinazotoa uhalali wa shetani kumiliki lango lako la ndoto 1 Wakoritho 5:7

Nne funja kila madhabahu za shetani ambazo zimepata uhalali juu ya lango la ndoto

Tano kemea kila pepo linalotawala lango lako la ndoto

Sita ombea Ufalme wa Mungu kuja katika lango lako la ndoto ktk Kristo Yesu
 
.
 
Je mithali inasema nini kuhusu ndoto?

Ndoto ambayo ina mkono wa Mungu basi watu ambao unao waona wawe ndugu au jamaa unawajua. Ila ukiona ndoto ya ndugu zako uliozaliwa nao fanyia kazi hiyo ndoto na ujumbe ndani yake

Ukiona ndotoni watu huwajui ndoto hii haina mkono wa Mungu ndani yake.

MBarikiwe sana. .
 
Mbona husemi kwamba kwenye Biblia nzima, watu walioota ndoto ni wachache sana ukilinganisha na maelfu ambao hawajawahi kuota kabisa lakini walifanya mambo makubwa? Akina Daudi, Mtume Paulo, au hata Yohana walikuwa wanapata maono wakiwa macho tu au wanazungumza na Mungu face to face.

Mbona tunataka kufanya ndoto ndio iwe standard gauge ya kiroho wakati hata watakatifu wengi wa kale hawakuwa wakiota kila siku?
 
Unachosema ni kweli hata mimi nimesema kuwa ndoto sio njia pekee ya Mungu kuwasiliana na Wanadamu ziko njia nyingi zingine za moja kwa moja kama Musa na Mungu walivyokuwa wanawasiloana ana kwa ana , na watumishi wengine sema kwa sehemu kubwa ndoto imetumiwa na Mungu kwa watu wengi
 
Kuna chumba nilikuwa nikilala nikiota ndoto ni 100% correct.
 
Unachosema ni kweli hata mimi nimesema kuwa ndoto sio njia pekee ya Mungu kuwasiliana na Wanadamu ziko njia nyingi zingine za moja kwa moja kama Musa na Mungu walivyokuwa wanawasiloana ana kwa ana , na watumishi wengine sema kwa sehemu kubwa ndoto imetumiwa na Mungu kwa watu wengi
yeah, Mungu huongea nasi kwa namna mbalimbali. Ndoto hutumika zaidi kwa sababu akili za mtu zinakuwa zimetulia hivyo inakuwa rahisi Mungu kupenyesha ujumbe wake.

akiongea tukiwa macho tunakuwa katika mazingira magumu ya kumsikia.

Mungu atusaidie macho na masikio ya rohoni katika kumsikia Yeye katika jina la YESU, Amina.
 
Unachosema ni kweli hata mimi nimesema kuwa ndoto sio njia pekee ya Mungu kuwasiliana na Wanadamu ziko njia nyingi zingine za moja kwa moja kama Musa na Mungu walivyokuwa wanawasiloana ana kwa ana , na watumishi wengine sema kwa sehemu kubwa ndoto imetumiwa na Mungu kwa watu wengi
Unawezaje kutofautisha ndoto ya Mungu na isiyo ya Mungu?
 
Mimi kuna ndoto nimeota leo siku ya 3 mflulizo halafu zinafana tena ni mchana... Mpaka nimechukia¡
Ndoto hiyo ni ya Muhimu sana kuifatailia kwa sababu hiyo ndoto kama ni mbaya itatokea katika maisha yako hakika kama ni nzuri hivyo hivyo kwa hiyo kama ni mbaya unatakiwa uifuatilia na ujue Mungu anasema nini na wewe? Kwa ufafanuzi endelea kusoma hapa chini
 
Ni mambo yapi ambayo yatanisaidia kujua ndoto hii ni muhimu kuifatilia?

Yako mambo kadhaa ya kufatilia na kuyaangalia unapoota ndoto zifuatazo:_

Jambo la Kwanza Ndoto ambayo unaota inajirudia rudia , umeota ndoto leo , kesho pia ndoto hiyo hiyo au inafanana na hiyo na kesho kutwa yaani ndoto moja umeota zaidi ya mara moja kwa kipindi kifupi tu kama ndoto Psalm 103.

Pia kwenye biblia tuna Farao aliota ndoto ambayo ilijirudia mara mbili ndoto ya njaa

Ikawa, mwisho wa miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Mwanzo 41:1

Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema.
Mwanzo 41:5

Kwa hiyo ukiota ndoto zaidi ya mara moja ujue hiyo ndoto hakika itatokea soma pia

Na ndoto ya Farao kwa vile ilivyokuja mara mbili, ni kwa sababu neno hilo Mungu amelithibitisha, na Mungu atalitimiza upesi.
Mwanzo 41:32

Kwa hiyo ndoto yoyote ambayo utaonta zaidi ya mara moja maana yake Mungu amethibitisha kutokea kwa jambo kwa hiyo ni muhimu kuifatilia ndoto hizo kwa ufafanuzi soma Mwanzo 41 sura nzima utapata cha kujifunza mambo mengine tutayaweka badae
 
Unawezaje kutofautisha ndoto ya Mungu na isiyo ya Mungu?
Njia raisi ya kutofautisha ndoto hii ni ya Mungu au sio ya Mungu ni matokeo ya ndoto mara baada ya kuota ndoto nini kimetokea kwenye maisha yako? Ndoto zozote ambazo katika ulimwengu wa roho zinahusiana na ibada za kimiungu hizo moja kwa moja ni za shetani mfano umeota ndoto unazini, unakula chakula, uko na watu waliokufa zamani, uko sherehe za ibada za kishirikiana nk , hakuna jibu la moja kwa moja kwamba ndoto hii ni ya shetani au ya Mungu inategemea na ndoto husika na kila ndoto inatafsiri yake ni kazi ya roho mtakatifu kutusaidia kutofautisha ndoto na chanzo chake
 
Kwahiyo ndoto zote huwa ni utabiri kwa maana zinazungumzia mambo yajayo tu na si wakati uliyopo au uliyopita?
 
Njia raisi ya kutofautisha ndoto hii ni ya Mungu au sio ya Mungu ni matokeo ya ndoto mara baada ya kuota ndoto nini kimetokea kwenye maisha yako? Ndoto zozote ambazo katika ulimwengu wa roho zinahusiana na ibada za kimiungu hizo moja kwa moja ni za shetani mfano umeota ndoto unazini, unakula chakula, uko na watu waliokufa zamani, uko sherehe za ibada za kishirikiana nk , hakuna jibu la moja kwa moja kwamba ndoto hii ni ya shetani au ya Mungu inategemea na ndoto husika na kila ndoto inatafsiri yake ni kazi ya roho mtakatifu kutusaidia kutofautisha ndoto na chanzo chake
Lakini ndoto ni mafumbo usipoweza kufumbua hilo fumbo utawezaje kuhusisha hiyo ndoto na kilichotokea kwa usahihi?
 
Back
Top Bottom