Kuna umuhimu wa kujenga nyumba ukiwa na miaka 60?

Kuna umuhimu wa kujenga nyumba ukiwa na miaka 60?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabu pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?

Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
 
Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabi pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
Nyumba unajenga kwa ajili ya mkeo na watoto wasije hangaika kipindi ukisha kufa
 
Umuhimu upo.umri huo,usipokua makini kiinua mgongo kitaishia kwenye kudagwa, wakati unaweza kujenga ukatoboa mpaka 99,kama mume wa malkia
Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegeda
 
Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegeda
Tena unahakikisha faida ya fixed deposit unamkabidhi land Lord mshiko wake wa mwaka.
 
Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabi pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?

Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
Sasa hio laki na nusu si uitumie kwenye house rent tu
 
Si ndo hapo,

Au akiwa na shobo na nyumba yake ,atafute kiwanja nje ya mji huko chanika then atafute container la 20 ft ufanye chumba na sebule,baada ya hapo ni kula papuchi mpaka kifo
kumbe watu wengi wanasubiria 60 waanze kula mbususu mbichi mbichi. wacha vibabu wafie juu ya mbususu maana inaonekana ndio mipango ya wanaume wengi
 
Back
Top Bottom