Malchiah
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 1,959
- 20,733
Hakuna raha kwa sisi wenye familia kama kuwa kwako(umejenga).
Jamanijamaniii,sikieni tu kudaiwa kodi wakati mambo yapo hali jojo.
Ukigeuka kushoto watoto wanahitajika ada. Tujenge hata kama sio ile nyumba ya ndoto zako. Uzuri kwenye maisha ukianza kitu ni rahisi kuwa na muendelezo,ndio maana mwenye gari ni rahisi kubadili lingine.
Unajisikiaje siku ndugu yako amevuta,alafu familia yake ipo kwenye upangaji,mke na watoto na mama hana kazi?