Nyumba unajenga kwa ajili ya mkeo na watoto wasije hangaika kipindi ukisha kufaMaisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabi pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
We share the same mindset bradaNi bora ule zako starehe na watoto wakali hata ufie mikononi mwao
Eeh tatizo lipo wapi kama hela unayo? Wee unapanga tuu tena kajumba ka room mbili tuu alafu unaanza kusasambua mbususuKwahiyo kama hujaoa unaweza kuendelea kupanga.
No need.Kwahiyo kama hujaoa unaweza kuendelea kupanga.
Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegedaUmuhimu upo.umri huo,usipokua makini kiinua mgongo kitaishia kwenye kudagwa, wakati unaweza kujenga ukatoboa mpaka 99,kama mume wa malkia
Sio tena etii,.sa sijui ni maisha gani tena hayo kwa hapa kwetu bongo dah!!!Si 40 tena.
Tena unahakikisha faida ya fixed deposit unamkabidhi land Lord mshiko wake wa mwaka.Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegeda
Sasa hio laki na nusu si uitumie kwenye house rent tuMaisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabi pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
Kabisa. Yaani huna ata stressTena unahakikisha faida ya fixed deposit unamkabidhi land Lord mshiko wake wa mwaka.
Si ndo hapo,Kwanza kiwanja hutapata sehemu iliyochangamka chini ya milioni 30
kumbe watu wengi wanasubiria 60 waanze kula mbususu mbichi mbichi. wacha vibabu wafie juu ya mbususu maana inaonekana ndio mipango ya wanaume wengiSi ndo hapo,
Au akiwa na shobo na nyumba yake ,atafute kiwanja nje ya mji huko chanika then atafute container la 20 ft ufanye chumba na sebule,baada ya hapo ni kula papuchi mpaka kifo