Kuna umuhimu wa kujenga nyumba ukiwa na miaka 60?

Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegeda
Siku unadanja, pakuweka ata msiba wako hakuna, ni aibu
 
kumbe watu wengi wanasubiria 60 waanze kula mbususu mbichi mbichi. wacha vibabu wafie juu ya mbususu maana inaonekana ndio mipango ya wanaume wengi
Unafanya mchezo na vitoto vibichi vibichi nini, hiyo ni fantasy ya kila mwanaume
 
Sasa usiombe uko na familia treni na Mungu alishakupangia uishi miaka 99. Utajuta
 
Wapangaji wanavozingua kulipa kodi wanaweza kukuua na ugonjwa wa moyo mapemaaa kabla hata hujafaidi miaka michache ilobaki..
 
Unafanya mchezo na vitoto vibichi vibichi nini, hiyo ni fantasy ya kila mwanaume
kweli kabisa yaani full burudani kusasambua mbususu zao. wacha tutafute hela ili uzeeni tule watoto wabichi
 
jamani hela ya kustaafu ni ya kula bata tu sio ya kujengea kujenga ni saizi ukiwa na nguvu jenga hata vyumba viwili na sebule chanika au majohe vitakustili ukistaafu
 
Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegeda
Hvi fixed deposit unaijua vizuri mkuu......basing on the said 100m!!!!!
 

Kujenga ni uamuzi sahihi, ila ubakize akiba. Unajengea watoto na wajukuu wasijepata shida, watakuona wa maana na watakujali kwa miaka yako iliyosalia. Ukiamua ufanyie starehe utakufa mapema na utaacha shida tu
 
Hvi fixed deposit unaijua vizuri mkuu......basing on the said 100m!!!!!
ah wewe fixed inaanza leta maana kama una mzigo wa 200mil na kuendelea. alafu kumbuka hicho ni kiunua mgogno so tuna presume na wewe nae utaku tayari na visaving vyako. we also assuming kwamba huna tena majukumu kama vile ada sijui wajukuu na vitu kama hivyo.
 
Umuhimu upo.umri huo,usipokua makini kiinua mgongo kitaishia kwenye kudagwa, wakati unaweza kujenga ukatoboa mpaka 99,kama mume wa malkia
Hata kwa hesabu za haraka haraka kwa jinsi alivyosema kuwa kodi 250,000 kwa mwezi manaake kwa mwaka no mil 3. Okey tuseme ujipigie hesabu fupi tu ya miaka 25 kwamba mpaka miaka 85 Utajua umekufa unapata mil 75. Hiyo ni kodi tu(Na usiombee ukatoboa mpk 90 huko halaf ushatumia zote) wakati kwa mil 75 unaweza kujenga nyumba ambayo Utakua na uhakika wa kuishi mpk kufa na kuiacha.

Mimi ambacho kinanishangaza ni pale kijana mtafutaji akapata mil 100 kama hiyo halafu akaizika kwenye kujenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…