Kua uyaone ndugu yangu !!!! Tushukuru siku hizi kuna mikopo kwa watumishi miaka ya nyuma wazee wetu wslidhalilika aisee !!!Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabu pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
Zile enzi ukifeli darasa la saba unakua mzigo kwa familia maana ada ya private school na mishahara ya Mchonga havikua na urafiki. Bahati nzuri wengi tulikulia kwenye nyumba za serikali.Kua uyaone ndugu yangu !!!! Tushukuru siku hizi kuna mikopo kwa watumishi miaka ya nyuma wazee wetu wslidhalilika aisee !!!
Fixed deposit ya 100mil ni kiasi gani mkuu?Changamoto hapo mzeya ukitoboa mpaka 99. Ila sasa ukishapa mafao yako sii unaweka kwenye fixed deposit unakula faida tuu maana hapo ulishobakisha ni kula na kugegeda
Ni bora ule zako starehe na watoto wakali hata ufie mikononi mwao
Unaweza pata 11 % ukiweka for two years.Fixed deposit ya 100mil ni kiasi gani mkuu?
What if akiweka hela UTT AmisUnaweza pata 11 % ukiweka for two years.
Ndio maana nasema ni vizuri kama ukiwa na mil 200
Hiyo sijui mzee...nifungue macho na mieWhat if akiweka hela UTT Amis
Mama Maria NyerereYes mkùuuu
Angalia mama magufui
Mama mkapa
Mama karume
Mama kijazi
🤔Mama Maria Nyerere
Nyumba unajenga kwa ajili ya mkeo na watoto wasije hangaika kipindi ukisha kufa
Siku unadanja, pakuweka ata msiba wako hakuna, ni aibu
Jambo la Muhimu kwenye Maisha ni kuwa na Income ya uhakika ambayo ni Generational..yaani mpunga unatiririka kama Mto Nile. Kukenga nyumba ukiwa na 60 yrs ukishamaliza kujenga tu lazima ufe sababu pesa itaishia kwenye ujenzi utakosa hela ya kula baada ya hapo. Kama ni mimi wala sitajenga nyumba. hiyo 100m naigawa katikati 50 nanunua Bonds zenye Compounding interest hivyo nitakuwa na uhakika wa hela ya kuishi hadi nakata roho. 50m najipiga rangi mimi mwenyewe na kufanya shughuli za kunikeep Busy.Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabu pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
Ni bora ule zako starehe na watoto wakali hata ufie mikononi mwao
Naona ulipata urithi wa nyumba toka kwa babako.Kujenga ni uamuzi sahihi, ila ubakize akiba. Unajengea watoto na wajukuu wasijepata shida, watakuona wa maana na watakujali kwa miaka yako iliyosalia. Ukiamua ufanyie starehe utakufa mapema na utaacha shida tu
Umenena mkuuNaona ulipata urithi wa nyumba toka kwa babako.
Watoto wa mwendokasi wanakupigia hesabu ni lini wafa na ukidondoka tu wanauza kila kitu wanagawana na hata kutoana roho kwa kile ulichojinyima kwa miaka mingi ili uwape uhakika wa makao.
Nawapa watoto elimu kama urithi wao wa baadae na wala sio nyumba wala mali. Mali ni yangu na Mungu.
Nyumba unajenga kwa ajili ya mkeo na watoto wasije hangaika kipindi ukisha kufa
Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabu pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
Siku unadanja, pakuweka ata msiba wako hakuna, ni aibu